Ally kiba anakwama wapi?

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
18,481
Points
2,000

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
18,481 2,000
Sina maana mbaya ila kwa hizi mambo ukiziona utajua kabisa kaka mkubwa anakimbizwa na bwana mdogo mond shida iko wapi kwa kaka mkubwa?

IMG_0874.JPG
IMG_0873.JPG


IMG_0875.JPG
IMG_0876.JPG
 

Mr Morogoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2019
Messages
1,083
Points
2,000

Mr Morogoro

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2019
1,083 2,000
Tatizo la alikiba ni kuvimba...yaani yeye ndo anajiona ashafika...wakikaa gheto na wale vijana wake wa king music wakiimba huku kuna masela pembeni wanawashangilia basi wanajiona ndo washamaliza kila kitu...hawajui mziki wa siku hizi umebadilika...mziki wa siku hizi tafuta producer mkali akutengeneze biti kali inayochezeka we pita nayo tu imba hata vitu ambavyo havieleweki ilimradi yasiwe matusi..video tafuta ma dancer wakali wengi wanaojua kucheza then wacheze na iyo biti kali...picha za video ziwe quality afu achia iyo kitu mtaani...kwa base fun ya kiba mbona ngoma kesho tu ishabamba mtaani...sasa yeye mziki wake hadi leo anafanya ile ya kina dushelele,u are my everything,makhmuga anaibadilisha kidogo...tatizo lake anadhani mziki ni kujua kuimba tu...wake up brother hukatazwi kuimba izo nyimbo zako imba but uwe unatoa na hizi za kisasa zinazobamba sikuhizi mashabiki wako wazicheze huku mtaani...tatizo lako umezungukwa na watu washambashamba wasiojua mziki wa kisasa unataka ujanjaujanja mwingi...sikuhizi ukiwa na maneno matatu tu unatoa wimbo na unabamba
 

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
38,215
Points
2,000

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
38,215 2,000
Nafikiri tatizo wala sio mziki wake
tatizo kama lipo basi ni management tu yake...

Kjua mziki na kujua biashara ya mziki nivitu viwili tofauti..

Diamond ana kina Sallam wanamfanyia vitu ambavyo management ya Kiba hakuna anaejua waanzie wapi
 

Forum statistics

Threads 1,390,031
Members 528,080
Posts 34,041,522
Top