Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,230
Ally Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa.
Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania wa nchi hii wanamilki ukweli, wanamiliki haki, na wanamilki busara, ili upate busara Nchi hii ni yale wanayo yasema wapinzani. Mtu yoyote ambaye si mpinzani hiyo sio busara sasa uwezi kuonyesha ukweli au haki ni yako tu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025