nayatamani sana maisha ya aina hii sema sijapata fursa tu
Mwenzako anatengeneza pesa wewe unamchukulia poa, ukisikia kajenga hotel ya nyota 3 mnaanza ooha katakatisha fedha, shenzi type, tafuta pesa upate heshima hata km unacheza na matope ila siku ukikaa pahala pazuri watu waendelee kuongea vibaya wakati ulikua unajipambaniaTazameni video clip jinsi aliyekuwa RC na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Binafsi nampongeza sana. Huyu ni mfano wa viongozi wanaotekeleza kauli ya vijana kijiajiri. Yeye, makonda na sabaya sikuwapenda kabisa. Lakoni kwenye hili sinabudi kumpongeza! Kudos!!!Haijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa RC na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
We unajua kweli maana ya kubeba guniaHaijalshi kama alikuwa anatafuta kiki au ni kweli.
Tazameni video clip jinsi aliyekuwa RC na aliyejiita kiboko ya wapinga Magufuli anavyo piga gunia kibabe.
Amakweli hujafa hujaumbika.View attachment 2427744
Anapataje kwa mfano ,mkurugenzi sawaKwani mshahara wake hapati baada ya kutolewa.
Yaani alipwe wakati hayuko kazini??Kwani mshahara wake hapati baada ya kutolewa.
Huyu ilikuwa lazima aliwe kichwa, hicho chama kina wenyewe, huwezi tikana wazee wenye chama chao halafu utoboe... Lilikuwa ni suala la muda tuu. Kwenye siasa, hasa ukiwa kijana, jifunze kuwa na back up plan for future ikitokea unayemtegemea hatokuwepo for one reason or another. Wahenga waliposema weka akiba ya maneno walikuwa na maana yao.Yuko vizuri ni mfano wa kuigwa sema alifanyiwa mizengwe tu.
Exactly [emoji1666] [emoji1666]Kwani nafasi ya URC alizaliwa nayo, wacha alime nyanya na kubeba magunia huenda akafanya vizuri hata kabla ya kuwa RC.
Huyo ni chawa na mpenda sifa sana tu, alinyanyua sana makwapa enzi za JPM.
Hapana watu wanajifunza kupitia kwake.. Ukisikia kufunzwa na dunia ndiyo huko.Watu mnapenda kuona Anguko la watu msio wapenda
Kwamba Mwalimu aliishi kwa kutegemea kupiga kazi shambani kwake? Wafahamu kwamba rais akistaafu bado anaendelea kulipwa 80% ya mshahara wa sitting president??Nchi ngumu sana hii! Mtu Yuko shambani kwake anapiga kazi imekua nongwa?
Mbona Mwalimu baada ya kung'atuka alikua anapiga kazi shambani kwake na haikuonekana kitu Cha ajabu?
Ulimuona akifanya hivyo wakati ni RC?Kwa haraka investment ambayo ameifanya akili yangu hainipeleki kwenye kuamini kiki, hizo kiki zitamgharimu mwenyewe, my positive mind inaniambia you should believe in hard work and again hard work
Kwamba Mwalimu aliishi kwa kutegemea kupiga kazi shambani kwake? Wafahamu kwamba rais akistaafu bado anaendelea kulipwa 80% ya mshahara wa sitting president??