Ally Bananga: Nipo tayari kurudi CCM kama mtanionesha waliomuua Alphonce Mawazo

Hayo ni maneno yako wewe.

Kumbe unaandika bila kuelewa unachokiandika kina maana gani? Mawazo aliuawa na CHaDEMA, Bomu la Arusha lilitegwa naCHADEMA, Mwangosi aliuawa na CHADEMA, Tundu Lisu akpigwa risasi na CHaDEMA, Mazombi wa Zanzibar hawajulikani. Mafisadi wote wako ccm kina chenge, lowasa, Richmond, EPA, ni CHADEMA.

Sasa kama kuna serikali, inashindwa nini kuwachukulia hatua hawa maharamia?

Kwa kuachilia uovu huu unaangamiza taifa, watu wakisema Tanzania hakuna serikali bali kuna genge la mungu tumbo, watakuwa wanakosa wapi?

Serikali gani inayoachilia uharifu mkubwa namna hii inabaki kuzomea tu huku watu wakiangamia?

UWONGO WENU NA HUO USHSETANI WENU UNA MWISHO!
 
Aiseeeee

Naona bado unawashwa washwaaaaaaaa

Usinilazimishe niandike ambacho sijaandika.. na kama hauelewi jipige vibao vya usoni.. hayo ya kuwa sijui nani hajafanya hivi na vile ni yako.. unajua pa kwenda kufatilia kama mriripoti.
 
Hebu atueleze walimfata kumhonga? Walimwahid nn na nn?
Ili hizi hadithi za kuhongana zifike kikomo.
Takukuru fuata huyo akupe ushahidi alivyohongwa akakataa
Akiwapa ushahidi watasema hawatashughulikia kwa vile siasa imeingia hapo
 
Duu..nilitegemea atatoa pole kwa vifo vya wanajeshi wetu...kumbe anaongelea mtu ambaye hata funza washapiga mswaki...

njia ni moja tu wameanza kwake kesho kwako binadamu anapokuwa hai mjeur sana.
 
Diwani wa (CHADEMA), Kata ya Sombetini, Ally Bananga amesema yupo tayari kurudi (CCM) ikiwa viongozi wa chama hicho ambao wanataka kumnunua ikiwa watamuonyesha watu waliowatuma kumuua Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo.

Banaga.jpg

Mbunge wa jimbo la Kibamba, John Mnyika (kushoto) Diwani wa Sombetini Ally Banaga (Katikati) akiwa na Mstahiki Meya wa Ubungo Mhe. Boniface Jacob (Kulia).

Ally Banaga amedai kuwa yeye yupo tayari kurudi CCM kama viongozi hao watatimiza jambo hilo na kusema hiyo ndiyo itakuwa gharama yake kurudi CCM na siyo fedha au mali kama ambavyo wengine wanadaiwa kupewa.

"Ma CCM wanaotaka kuninunua, leo nataja gharama za kurudi CCM. Nionyesheni mliowatuma kumuuwa Mawazo, nitajiunga nanyi siku hiyo hiyo" alindika Ally Banaga

Aidha Banaga ameonyesha masikitiko yake makubwa kwa watu ambao wanakisaliti chama hicho na kusema kuwa wamesahau kuna watu kama kina Mawazo ambao wamekufa wakikipigania chama hicho.

"Nilishika jeneza lako nikikuangalia mwamba umelala. Ndipo nilipoamini kuwa sio stori, mwanaume wa kweli uliyefia vitani ukikitetea chama ambacho kuna Mambwa Koko yanakisaliti, yanakichezea yanakinajisi bila kuhisi maumivu yako ulipotoka roho kukipigania. Nilikuita kwangu Dar es Salaam tupumzike baada ya uchaguzi mkuu ambao CCM walikupora kwa nguvu ushindi wako, kaka ukakataa kwa neno moja " Nikiondoka Makanda watakufa moyo, ngoja niwape tafu, Tukutane Dodoma.....dah! Tukakutania Mwanza kwenye jeneza" alisema Banaga

Mawazo%202.jpg

Novemba 14, 2015 aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Busanda kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita aliuawa kwa kupigwa mapanga na watu wasiojulikana na kupelekea kifo chake.
.....wewe tuletee Saanane !
 
....rushwa ya kuonyeshwa watuhumiwa pia nayo ni rushwa.
 
Pumzika kwa amani, hiki kifo kinaniuma hadi kesho. MUNGU atawalipa
 
Na siku akipanda jukwaa la kijani uje uteletee hizi pumba tena!
Mku hawa usajili wao hakunaga mwenye pumba ndo maana kwetu ccm wakija ni mashujaa zaidi ya Sisi uliopo ndani.

Hata Msando alipoongelea kuhusu umoja wa vijana alichokiongea unaweza kufananisha na Bananga.
Hawa Makamanda usajili wao mtu mmoja ni sawa na akina Msando ishirini kwa hiyo pumba kwao hawana nafasi
 
Hebu atueleze walimfata kumhonga? Walimwahid nn na nn?
Ili hizi hadithi za kuhongana zifike kikomo.
Takukuru fuata huyo akupe ushahidi alivyohongwa akakataa
awaeleze nini hata muamini akifanya hivyo mtasema anaingiza siasa?
 
Back
Top Bottom