Ally Bananga: Nipo tayari kurudi CCM kama mtanionesha waliomuua Alphonce Mawazo

Wafanyabiashara wadogowadogo wa madini wanakuwa na mambo mengi sana na mengine ni ya hovyo yanayotokana na kuzurumiana au vinginevyo. Mawazo alikuwa mfanyabiashara wa madini na baada ya kuuliwa kuna watu(wafanyabiashara wa madini) walikamatwa wakituhumiwa kushiriki kifo chake,sina hakika muendelezo wa hiyo kesi upoje. Lakini Chadema wamechukulia kifo kile kuwa mtaji wa kisiasa kwa kuihusisha CCM na serikali yake kwa dhamira ya kuuhadaa umma ambao hauyajui mazingira ya kifo cha Mawazo.
 
Kumbe siku hizi CCM wanahusika na upelelezi wa kesi?nilikuwa sijui wacha niwatafute na mie wanisaidie.
 
Wafanyabiashara wadogowadogo wa madini wanakuwa na mambo mengi sana na mengine ni ya hovyo yanayotokana na kuzurumiana au vinginevyo. Mawazo alikuwa mfanyabiashara wa madini na baada ya kuuliwa kuna watu(wafanyabiashara wa madini) walikamatwa wakituhumiwa kushiriki kifo chake,sina hakika muendelezo wa hiyo kesi upoje. Lakini Chadema wamechukulia kifo kile kuwa mtaji wa kisiasa kwa kuihusisha CCM na serikali yake kwa dhamira ya kuuhadaa umma ambao hauyajui mazingira ya kifo cha Mawazo.
MAWAZO ALIUAWA NA MAKADA WA CCM! HAKUNA UBISHI. hiyo stori ya jikoni unayoleta haitaiva ni uongo! Ok Na waliompiga lissu waliogombania mademu!! Saa nane alifichwa na vijana wenzake waliokuwa masomoni pamoja Endelea kupika leta nyanya na vitunguu!! lakini mkaa hautoshi!! Plain stupidity!!!
 
Duu..nilitegemea atatoa pole kwa vifo vya wanajeshi wetu...kumbe anaongelea mtu ambaye hata funza washapiga mswaki...
ipo siku nawe funza watakupiga mswaki jaribu kuwa na roho ya utu mawazo naye ni binadamu kama hao wanajeshi.
 
Duu..nilitegemea atatoa pole kwa vifo vya wanajeshi wetu...kumbe anaongelea mtu ambaye hata funza washapiga mswaki...
Na ww utakufa tu tena namuomba mungu akudharirishe pindi utakapo kufa liuwaji likubwa usiye na huruma kwasababu ya siasa tu ndio kunakutoa utu na ubinadamu
 
Back
Top Bottom