Allowances: Ex-German president warns govt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Allowances: Ex-German president warns govt

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Jun 16, 2011.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,461
  Likes Received: 81,711
  Trophy Points: 280
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]Allowances: Ex-German president warns govt [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"]Wednesday, 15 June 2011 23:46 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  By Polycarp Machira
  The Citizen Reporter

  Dar es Salaam. The debate on allowances paid to civil servants took a new turn yesterday when former German president Horst Kohler warned the government that its image was at stake.Prof Kohler said in Dar es Salaam that donors were closely monitoring the debate, adding that it might end up tarnishing the government’s image before development partners if it was not handled properly.Responding to a question during a dialogue at Movenpick
  Hotel, he said the debate did present a good picture of the country’s expenditure priorities.

  Prof Kohler said it was not in order for a country like Tanzania, which received substantial assistance from donor countries, to set aside huge sums as allowances for government officials, who were also being paid salaries. Giving an example of his own country, he said: “In Germany, such officials have to foot their own
  bills while attending official duties.” He added that payment of allowances was not a proper way of spending taxpayers’ money.

  Prof Kohler said at the Maendeleo Dialogue, organised by Konrad Adenauer Stiftung (KAS) and the Tanzania Development Initiative Programme (Tadip), that Western countries were likely to react once they had all the facts on the allowances debate.

  He spoke as debate on allowances paid to public officials raged. Opposition MP Zitto Kabwe last week said he would not accept allowances during Parliament’s ongoing Budget sitting in Dodoma. The Kigoma North MP said parliamentarians and government officials did not deserve to be paid allowances as they went about their official duties.

  Prof Kohler urged the government to uphold transparency and accountability.Prof Kohler noted that Tanzania had made great strides in development, but added that a lot more needed to be done to promote the rule of law, saying this would enhance the public’s trust on the government.

  The former Head of State, a well-known proponent of Western development assistance for African countries, said only the people, leaders and government can bring about real change in Tanzania.

  Speaking on the theme of “Cooperation and Solidarity – Opportunities for International Social Market Economy”, he said there were variations among countries, making the dream of a global social market unlikely in the near future.

  On the road to the new Constitution, Prof Kohler said it was necessary to bring in national
  values in the envisaged law. He said the process was an opportunity for Tanzanians to discuss values to be incorporated in the Constitution, noting, for instance, that the German constitution opened up with the line “Dignity for human being is untouchable.”

  While praising Tanzania for steps taken towards development, Prof Kohler said the country had numerous long-term development plans that should be implemented to accelerate growth.“It is not only important to discuss visions but you should also reflect on implementation. Let accountability prevail such that leaders are held accountable for promises they made,” he said.

  Bank of Tanzania (BoT) governor Benno Ndulu said Tanzania had for a long time faced the challenge of balancing what the government and the private sector ought to do.

  He said the government had the important role of complementing the positive impact of the private sector.
  “The government should put in place infrastructure that supports private sector initiatives to boost growth as well as improve institutions that stand for property rights and resolve disputes,” Prof Ndulu said.

  Another panelist, Dr Camilius Kassala from the Institute of Finance Management (IFM), said many African leaders would do only what is practical even if it was unethical.

  He noted that a social market economy should be inclusive and provide for accountability.
  Dr Kassala urged the government to facilitate the private sector’s participation in the market, adding that freedom of market must be matched with social justice.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Guyton

  Guyton JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Lukuvi, Anne na ccm ndo wanaojua kuliko wote duniani, ndo mana wengine wakisema kama akina Zitto wanaambiwa wanatafuta sifa na umaarufu.

  Walaaniwe wao pamoja na vizazi vyao.
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa hivi utasikia JK amechip in maana huwa wakiongea hao ndiyo inaonekana ni hoja!
   
 4. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sssshhhhhhhhhhh...............................kaka W. Malecela wa Brooklyn atakusikia...
   
 5. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,092
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Hongera mh.zito kwa kuliweka suala la posho peupe,dunia sasa itakusaidia kukamilisha adhima ya kufutwa kwa posho...
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Anna Makinda haelewi yaani sijui kichwa chake kina nini huyu mama...ndo shida ya kukulia kwenye TANU unaanza kuwa mpika chai mpaka spika basi mawazo ni mgando kama ice cream za bahkresa
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hapo panaanza kuwa patamu
   
 8. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkulu

  Kwa hili nakubali kuwa Zitto na wengine wanaosusia/pinga posho ya vikao(sitting allowance ,wanatafuta umaarufu/sifa au kujijenga kisiasa.Kama wao ni wazalendo wa kweli wangepinga posho ya Ubunge(5 ml) kwa mwezi.

  Mshahara wa mbunge ni 2.3 ml(basic) plus 5ml posho ya ubunge makes 7ml kwa mwezi gross kabla ya kodi.
  Graduate aliyeajiriwa serikalini analipwa 0.4 ml mpaka 0.6 ,kusema sitting allowance ifutwe wakati kwa watumishi wa umma hilo nafikiri siyo sahihi kwani lipo kwenye kanuni za kudumu(standing orders) za utumishi wa umma.

  Watu kama wanasheria ambao sehemu kubwa ya kazi zao zinahusisha vikao then you say posho hiyo ifutwe ambayo kimsingi siyo kwamba watumishi wote wa umma wanalipwa hiyo , huo ni ubinafsi on the side of wabunge kwani ukifanya-comparative analysis utaona kuna tofauti kubwa ya mbunge na mtumishi wa umma kimapato.

  Shame on Zitto et al , msiweke siasa kwenye maisha ya watu ,kuna matatizo makubwa katika nchi hii ambayo kama yakipatiwa majawabu sahihi effect yake ni ya mara moja na inayoonekana.
   
 9. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Si tumeona wameanza kujitetea kuwa suala hilo lipo kwenye mpango wa serikali wa maendeleo (2011-2015). walianza kupinga, sasa wanajikosha. Labda wameona mabosi wao wanafuatilia huu mjadala na wanavutiwa na hoja za CDM.
   
 10. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Huwezi lipwa posho kwa kazi unayolipwa mshahara, huo ni wizi. Zitto ametufungua macho tumeona uchafu huu.

  Kazi ya mbunge ni kutunga sheria, kazi anayoifanya akiwa katika kikao cha bunge, sasa kwanini alipwe posho ya kikao wakati ni kazi yake kukaa na kutunga sheria?

  Ukitaka kutetea point yako, basi hata wauguzi wapewe posho za uuguzi, wafagiaji wapewe posho za kuwepo eneo lao la kazi.

  Unasema kuna matatizo makubwa ambayo yakipatiwa majibu sahihi effect yake inakuwa mara moja, jenga hoja utaje hayo matatizo na ufafanue majibu yake sahihi, usiongee kisiasa, inaelekea wewe ni mmojawapo wa wabunge au unaguswa moja kwa moja na maslahi ya mbunge.
   
 11. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Halafu aelewe kuwa posho hizi ni wizi mkubwa maana wanaolipwa ni walewale wanaopata pia mishahara mikubwa na posho zingine kubwa kubwa kama za safari n.k.Hoja ya cdm ni kuondoa posho hizi ambazo ni mwanya wa kupitishia pesa za umma na kuzipeleka kuborasha mishahara ya watumishi wote wa umma.Mtu alipwe kwa kufanya kazi siyo kuhudhuria semina za ukimwi halafu anaondoka na bahasha ya note zaidi ya mshahara wake. Ndiyo maana hakauna utendaji mzuri serikalini kwa sababu watu wakobiz kutafuta madeal ya kutengeneza semina na vikao ili wapate posho. Mambo haya hayapo kwenye private sector na watu wanafanya kazi zao vizuri tu na kwa ufanisi. Kwa nini watumishi wa umma na wabunge isiwe hivyohivyo? Ndo maana hatuendi kokote tumebaki kupiga soga tu kwenye ofisi chafu chafu za umma tunafanaya timing za vikao na semina. Shame on you watumishi wa umma ndo maana mnadharaulika kwa sababu hamna faida yoyote labda watumishi wa ngazi za chini kama walimu na wauguzi!Hapa moto umeshawaka hamna jinsi posho lazima ziondoke kama siyo mwaka huu mwakani hamna kitu kama hiki tena. Fanyeni wizi huu kwa mara ya mwisho!Hamna pa kutokea maana baada ya bunge la budget CDM kama kawaida watalipeleka kwa mabosi wenu wananchi. Wakishaelewa basi tena mtaendelea kuporomoka mpaka muingie shimoni hata kabla ya 2015.Shame on you magambas!
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  kuna kitu kimoja kinanishangaza hapa tanzania,mpinzani akija na idea nzuri kwa nchi yetu kwa nini wanaipinga??
  ina maana wapinzani hawana haki ya kuleta idea zao kwa taifa letu?
   
 13. B

  Benno JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tanzania tunaleta aibu, mpaka hawa wa nje watujadili ama kweli '' Every body will continue with its state of rest or uniform motion unless an external force comes and act on it.


  Najisikia Vibaya kusoma hizi taarifa;
   
 14. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mmh yaani mpaka tuambiwe na nchi nyingine ndio iingie akilini? inatia hasira, nchi iipe TZ msaada halafu wautumie kwa kulipana posho ambazo kwao hawapati, wakisikia na wengine huu mjadala tutaonja joto ya jiwe.
   
 15. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  yaani hiyo ni cancer hapa TZ, unajua kila kitu kinageuzwa kuwa siasa siku hizi, kuna mambo mengine yanayohusu mstakabali wa nchi yetu tunatakiwa wote tuungane tuyafanikishe kwa pamoja, tuache siasa pembeni.
   
 16. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Movies nyingi siku hizi, sijui tuangalie ipi tuache ipi, kaaazi kweli kweli
   
 17. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,448
  Likes Received: 781
  Trophy Points: 280
  Watu makini waliotakiwa kungoza taifa hili wapo pembeni.Vibaka,watoro wa elimu,wapika majungu,wanafiki,makasuku na pumba nyingine ndio viongozi.Hivyo wao kila kitu maadamu kinatoka kwa wapinzani ni haramu.Sasa kwa mtaji huo unafikiri tutafika?
   
 18. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hizi habari za posho zimekuwa zikiongelewa na wahisani karibu miaka miwili imepita sasa. Nimeshakaa na mtu ambaye anahusika sana katika sera za kutoa misaada ambaye alieonyesha kukerwa na hizo posho na per diem wanazopata wakubwa wakiwa wanatekeleza majukumu yao ya kila siku ambayo wanalipwa mishahara. Vilevile lifestyles za viongozi wetu zimekuwa ni gumzo na katika miduara hiyo ya wahisani.
   
 19. R

  Renegade JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Uzuri wa Movie sterling Hafi.
   
 20. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Lipi gumu kwako kuelewa?

  Tumia muda kusoma na kuelewa mantiki , siyo kila analosema Zitto au Chadema unashabikia, na mtu akiwa na mawazo tofauti anachukuliwa kuwa na yeye ana gamba.

  Hili ni hatari kwa ustawi wa demokrasia na ustawi wa bongo zetu kwa maana ya kujenga uwezo wa kufikiri na kutafakari mambo kwa kina.

  Sikiliza,

  Ninalosema ni kwamba Posho ya ubunge au Posho za wabunge ni kubwa mno, hilo halina ubishi na naunga mkono upunguzwa wa posho hizi ili ziende sambamba na hali yetu ya kiuchumi.

  Nimesema na narudia, Graduate analipwa 0.4ml mpaka 0.6ml. Kiasi hiki ni kidogo sana ukilinganisha na mshahara wa mbunge wa 7.3ml.

  Hoja yangu ni kwamba 7.3ml (ambayo ndani yake kuna 5ml) kama posho ya ubunge ambayo hiyo kina Zitto na et. al hawaisemi,

  wao wanazungumzia sitting allowance ya 70,000 tu,

  mimi kwangu hiyo 5ml ndiyo inapaswa kuwa subject of discussion , wangeikataa hiyo na siyo 70,000.

  Matokeo yake mnakurupuka na kuwasifu kuwa wao ni wazalendo , waoneshe uzalendo wao katika kukataa posho hiyo.

  Malipo ya posho of the same nature (i.e sitting allowance kwa Graduate anayepokea 0.6 ml maximum ) yanamsaidia mtumishi huyu angalau kupunguza makali ya maisha ingawa malipo hayo hayafanyiki kila wakati.

  Vilevile ku-extend suala la posho hii ya sitting allowance mpaka kwenye mhimili wa Executive wakati hoja ipo kwenye Legislature, to me naona ni kuzidi kumdidimiza mtumishi wa huyo while kumnufaisha mbunge kisiasa/kupata umaarufu (kwa kukataa kwake 70,000 wakati bado anachukua 7.3ml )

  On issue ya masuala pressing ambayo sisi kama taifa tumeyaacha, umetaka nimetoa mfano , nitakupa mfano: umeme , kukosekana Uongozi(leadership) kwenye nyanja mbalimbali ndiyo yalikuwa ya kujadili.

  Nimejenga hoja yangu katika misingi hiyo.
   
Loading...