Ikiwa hata naibu spika anauchapa wakati wa mjadala, sikilizia atakachokisema baada ya katibu wake kumshitua pale mbele! "Katibu, Mwongozo kinachofuata?" kumbe ameulizwa Mwongozo kwa nini Tyson kafyatuka hovyo dhidi ya wapinzani bungeni, hoja iliyotolewa kutoka Ubungo!
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeee.,
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni zuri (TAMU???) sanaaaaaa.,
Nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni kheri mama weeeee,
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo woteeeeeeeeee.