Hata mie nimeziona hizo DVD na vcd zinakuwa ni collection ya vcd/dvd nyingi kwanzia 8 mpaka 40 huko, nyingine hazioneshi kabisa
Hivi ninyi mnadhani wachina wamejazana pale Dar ili kuja kucheza Mdumange??
Kazi yao kubwa ni kuuza bidhaa fake, si DVD tu ni kila kitu.
Hata ukitaka gari aina BMW, lakini Fake, watakuuzia.