Allen and Kasie....

Habari za jioni mabibi na mabwana wa JF,

Leo nilikuwa kwenye mishe mishe zangu binafsi sikwenda kazini basi baada ya kumaliza shughuli zangu nikaingia Mandela Square Mall. Nikapata nilivyokuwa nahitaji na wakati natoka nikapishana uso kwa uso na mkaka mmoja hivi kumuangalia vizuri au vijqana wanasema baada ya kufuta tongotongo nikagundua ni Allen.... ooohh my gooshh!!... Allen...!! nikajikuta nimetamka hivyo kwanguvu. Umekuja lini..??
Allen alinifata nilipo akanikumbatia, ashakum si matusi tukajikuta tumebusiana palepale kwenye lango la Mall. Basi si wajua nguvu ya mwanamke tena, ikabidi Alleng aghairi kuingi kwenye Mall maana tulikuwa hatujaonana kitambo, akanibebea mizigo yangu hadi kwenye taxi haooo tukatokomea tunakokujua wenyewe.

casual-man-watching-tv-his-sofa-home-living-room-42569813.jpg

Hadi dakika hii ndo naandaa chakula cha jioni niko hapa open kitchen Allen anaangalia mpira baada ya kumkatalia kuwa yeye ndo apike chakula, namtazama huku natabasamu.... Kasie and Allen looh...

man-standing-happiness-on-the-kitchen-and-preparing-food-picture-id521614808

521614808


Halafu kaja tarehe za hatari sijui ntatoka salama hapa au ntanasaa.....

624491024

young-pretty-black-woman-make-soup-in-kitchen-picture-id624491024

Ni hayo tuu kwa leo, jioni njema na alamsiki. Poleni kwa kuwachosha na matukio ya Kasie, ndivyo nilivyo.

Kasie.
Ajuza Kasie katika ubora wako. Anyway usiwaze sanaaa kuhusu kunasa, wacha tu aje uwe na mjukuu mwanao.
 
siku hatari?hamna maduka huko mnunue ndomu??kama vip mpe ila akojolee nje
 
we mwamke natamanigi sana kukuona bs tu visa vyako

Hahahahahahaaa Kasie ni kigagula flani hivi matata lakini mpolee halafu mkimyaa wakati huohuo mcheshi bin muongeaji.... kazi kwako kutasfiri hehehehee.

Sasa wewe i zoom hii avatar ya Kasie kisha itazame kwa umakini na kwa utulivu. On your activities when you met or see an old lady smiling most of the time and resembles kasie's avatar then you must've met Kasie face to face.

Nashukuru kwa kupata tamanio na shauku la kumuona Kasie.. .. iko siku tuu utaonana nae uso kwa uso...
 
Ajuza Kasie katika ubora wako. Anyway usiwaze sanaaa kuhusu kunasa, wacha tu aje uwe na mjukuu mwanao.

Hahahahahahaaa weewee kumbe hunitakii mema na uzee huu unataka nizae mjukuu mwanangu looh.... kweli umenichoka....

Ubora bin ladha ya Kasie iko vilevile ..... dhamira kuu mapenziii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom