Allen and Kasie....

Are you the cousing.... asking for forgiveness may be....

If not, then why not fair....??!
Yah kasie..Am your real cousin!

It was not fair since your desertion was unjustifiable..kasie! That's the only reason that has intrigued me to ask forgiveness!

Hope you know how I'm really down with you..
 
Habari za jioni mabibi na mabwana wa JF,

Leo nilikuwa kwenye mishe mishe zangu binafsi sikwenda kazini basi baada ya kumaliza shughuli zangu nikaingia Mandela Square Mall. Nikapata nilivyokuwa nahitaji na wakati natoka nikapishana uso kwa uso na mkaka mmoja hivi kumuangalia vizuri au vijqana wanasema baada ya kufuta tongotongo nikagundua ni Allen.... ooohh my gooshh!!... Allen...!! nikajikuta nimetamka hivyo kwanguvu. Umekuja lini..??
Allen alinifata nilipo akanikumbatia, ashakum si matusi tukajikuta tumebusiana palepale kwenye lango la Mall. Basi si wajua nguvu ya mwanamke tena, ikabidi Alleng aghairi kuingi kwenye Mall maana tulikuwa hatujaonana kitambo, akanibebea mizigo yangu hadi kwenye taxi haooo tukatokomea tunakokujua wenyewe.

casual-man-watching-tv-his-sofa-home-living-room-42569813.jpg

Hadi dakika hii ndo naandaa chakula cha jioni niko hapa open kitchen Allen anaangalia mpira baada ya kumkatalia kuwa yeye ndo apike chakula, namtazama huku natabasamu.... Kasie and Allen looh...

man-standing-happiness-on-the-kitchen-and-preparing-food-picture-id521614808

521614808

Halafu kaja tarehe za hatari sijui ntatoka salama hapa au ntanasaa.....

624491024

young-pretty-black-woman-make-soup-in-kitchen-picture-id624491024

Ni hayo tuu kwa leo, jioni njema na alamsiki. Poleni kwa kuwachosha na matukio ya Kasie, ndivyo nilivyo.

Kasie.
Aseee wacha nishtuke nlipoona hilo jina Allen!!!
 
Aseee wacha nishtuke nlipoona hilo jina Allen!!!Na nsivyokuwa na bahati ya kupendwa na warembo moyo ghafla ulianza kudundia nje ya mwili
 
Yah kasie..Am your real cousin!
Hahahahahahaaa Joshy..... if at all you are my cousin..... fcuk you square ..... don't expect anything from Kasie cousin.. am the same Kasie you met in S.A.

It was not fair since your desertion was unjustifiable..kasie! That's the only reason that has intrigued me to ask forgiveness!
Mmmhhh Joshy.... my anger to you is still there...
Anyways, many months has passed.... I'll think about your request... if at all it was unjustifiable....
I feel like slapping you heheheheheee... (joking)

Hope you know how I'm really down with you..

Mmmhhh I don't know.... please tell me... how...
 
Aseee wacha nishtuke nlipoona hilo jina Allen!!!Na nsivyokuwa na bahati ya kupendwa na warembo moyo ghafla ulianza kudundia nje ya mwili

Aahahahahahahaaaahahahaa looh umenifanya nicheke kwanguvu aah heheheheheheee.
Umenifanya nikumbuke katuni ya Tom and Jerry akiepuka hatari kamoyo kanadundia nje ya mwili aahahahahahahhaaaaa au saa ingine moyo unadundia mkiani eeheheheheheheheee looh.
 
Hahahah,mimi naona wangu unaelekea kuanza kudunda kwenye unyayo sasa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom