Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,469
- 12,907
Mkuu ebu tujuze zaidi kuhusu huyu mungu mwenye jina la kiarabu maana namuona yupo tofauti na mungu yesu mwenye jina la kiyahudi.Hapa kinacho kutesa ni neno "Allah" na kuanza ku-reason kama mtoto wa chekechea, utakonda bure achana na Allah.