Wanywa maji ya Bahari kwa siku nne ili wasife

Tuagize

JF-Expert Member
Dec 5, 2021
238
548
Wazamiaji haramu 4 wa Nigeria walazimika kunywa maji bahari kwa siku nne ili waendelee kuishi baada ya kudhani wanaenda bara la Ulaya na bila kutarajia wakajikuta wapo bara la America nchini Brazil

Wakihojiwa na shirika la Reuters, mmoja amesema siku ya kuzamia alisaidiwa na rafiki yake mvuvi kumpeleka kwenye meli husika ya mizigo, ila alipoingia kinyemela chini katika rudder ya meli akakutana na Wanigeria wenzie wengine watatu ambao hakuwa akiwafahamu hivyo akaanza kuingiwa na hofu kuwa watamuua kwa kumtosa baharini

Lakini, meli ilipoanza kuondoka wote wakakubaliana watulie kimya ili wafanyakazi wa meli wasije wakawagundua na kuwaua kwa kuwatosa baharini wote

Mmoja wa wazamiaji hao kwa jina la Friday amesema ilikuwa ni safari ya hatari sana kwao hasa eneo la rudder ya meli walipokaa maana hata mtu kulala na kujisahau ilikuwa ngumu unaweza ghafla kujikuta tayari umeangukia baharini bila kutarajia hivyo walifunga neti katika eneo husika na wao wote kujifunga kamba ili yeyote kati yao asije kutumbukia baharini kimakosa maana kuna muda wakiwa kwenye hiyo neti chini yao walikuwa wanaona viumbe hatari vya baharini wakiwemo papa na nyangumi

Alianza safari tarehe 27 June mwaka huu na amesema siku ya kumi wakiwa ndani ya meli vyakula vyakula na vinywaji walivyokuwa wamebeba viliwaishia hivyo ilibidi kwa siku nne wanywe tu maji ya bahari maana meli ilichukua wiki mbili kufika Brazil huku wakiwa hoi kwa njaa na kutopata usingizi

Amesema walipokuja kuokolewa alijisikia furaha badala ya hofu maana safari yao yneyewe ikiwemo eneo walilokaa kwa siku zote ilikuwa hofu tu muda wowote mtu anaweza poteza maisha

Hata hivyo, walikamatwa nchini Brazil ambapo wawili kati yao kwa hiari yao wameomba kurudishwa nchini mwao Nigeria na tayari wamesharudishwa, ila wawili waliobaki akiwemo Friday na mwenzie wao wamejaribu kuomba hifadhi maalum ya kikimbizi(asylum) ili wabaki nchini Brazil ingawa bado maombi yao hayajibiwa

Amesema wana matumaini serikali ya Brazil itawaonea huruma na kuwajibu wakae nchini humo akisema kwamba yeye ana familia na amekimbia nchi yake Nigeria kwasababu ya hali ngumu ya kiuchumi, migogoro ya kisiana na uhalifu kuzidi akisema ana familia ambayonina hali ngumu na akikuwa analima shamba lakini mafuriko yaliharibu kila kitu akaavhwa mtu

Miongoni mwa wazamiaji hao wana miaka zaidi ya 35

Kiongozi mmoja wa kidini nchini Brazil amesjatembelea wazamiaji wa nchi mbalimbali wanaoingia kinyemela Brazil ila wazamiaji wa Nigeria huwa na safari hatarishi zaidi

IMG_4191.jpg
 
Ndo maana wasanii wao wakipiga show popote pale panajaa.

Nigeria Raia wako zaidi ya 200mil mara 3. Ya Tanzania.

Hata Tanzania tukifikia Milioni 80 tutaanza ona machungu ya ardhi, fursa etc japo kwa wafanyabiashara itakuwa vyema maana ongezeko la watu linawafaidisha wao zaidi.

Wanaija nawakubali sababu hawana kuremba popote kambi.

Hata Sinza wamejaa sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2706661
✌ hii inaitwa live or let die
 
Tena kwa huu ubinafsi wa viongozi kuangalia matumbo yao, sijui itakuwaje huko mbeleni!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Aisee ndo walikaa hapo? Mbona hatari sana
 
Back
Top Bottom