Allah ni zaidi ya sayansi, watu wawili umeokolewa baada ya siku 13

Wanaume wawili wameokolewa nchini Uturiki wakiwa bado wana uhai baada ya siku 13 kupita tangu tetemeko la ardhi kupita nchini mwao, wakati wana sayansi wanatuambia kwamba binaadamu hawezi kuishi baada ya siku 5 mwanaume na siku 7 mwanamke, kwasababu eti mwili wa binaadamu kuhitaji maji na chakula ilikuwa hai, kwa kilichogundulika nchini Uturuki sayansi imekuwa proved wrong.

Jamani amini Allah ndo anaetoa uhai wa binaadamu na ndo anaeuchukua.View attachment 2525457
Unauhakika kama kulikuwa hakuna chakula huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allah angekuwapo, kusingekuwa na tetemeko na watu 46,000 wasingekufa.

Unashangilia vipi watu wawili kuokolewa wakati watu 46,000 wamekufa na kitu ndiyo kwanza kinapiga upya huko Syria?

Watu 46,000 wamekufa, na idadi ya waliofariki inazidi kupanda siku hadi siku.

Wewe unashangilia Allah kaokoa watu wawili?

jaribu kutumia akili hata kidogo alie leta mada hajashangilia yeye ameonyesha jinsi gani sayansi inavyo proves wrong before Allah. na kuhusu kufa elewa kua ni yeye Allah ndio aliepanga kufa wala kufa hakumsikitishi Allah kwa kua kwake yeye hakuna kufa isipokua ni kubadilisha maisha yaani kuhama hapa duniani na kwenda ishi akhera. na hao unaosema 46,000 ndio idadi aliepanga yeye katika hilo tukio. masikitiko na majonzi ni kwako wewe kwa kua yule aliehama hamtaonana nae tena katika maisha ya hapa duniani.

Pia kama utatumia akili vizuri utaona hata hao aliowaokoa kama onavyo dai wewe katika hilo tukio, iko siku watakufa kwa aina nyingine aliopanga yeye. hakuna atakae ishi hapa duniani milele
 
Wanaume wawili wameokolewa nchini Uturiki wakiwa bado wana uhai baada ya siku 13 kupita tangu tetemeko la ardhi kupita nchini mwao, wakati wana sayansi wanatuambia kwamba binaadamu hawezi kuishi baada ya siku 5 mwanaume na siku 7 mwanamke, kwasababu eti mwili wa binaadamu kuhitaji maji na chakula ilikuwa hai, kwa kilichogundulika nchini Uturuki sayansi imekuwa proved wrong.

Jamani amini Allah ndo anaetoa uhai wa binaadamu na ndo anaeuchukua.View attachment 2525457
Sio suala la sayansi, ni suala la probability, maana wengine hata siku 20 wanaweza kufika.., ni kwamba uwezekano ni mdogo sana wa mtu kufikisha, hivyo wanatoa asilimia kubwa inaangukia hapo kwenye siku 5
 
Je maelfu ya binadamu waliofariki kwenye hilo Tetemeko Allah hawafahamu ndio maana hajawaokoa? Allah Yeye anawaokoa watu wawili tu na kuacha maelfu wanakufa ?

Pia Kuhusu kuishi bila chakula sayansi haisemi siku 5 ama 7 mwisho. Ushahidi nimeweka kwenye attachment

Elewa kua hilo tetemeko ni kupenda kwake Allah na hao waliokufa ndio walivyopangiwa hivyo na wale waliopona hawakupangiwa kufa katika hilo tukio,
wao itakuja sababu yao nyingine wata kufa sasa futa akilini mwako kua Allah kaokoa hapo watu.
na mleta mada hakusema masuala ya kuokoa yeye kasema masuala ya binaadamu kuweza ishi kwa mtizimo wa kisayansi basina mahitaji ya lazima ni siku 5-7 kua si ukweli anaweza ishi siku zaidi ya hizo kwa mapenzi au kama alivyopangiwa na Allah
 
Allah says in the Holy Qur'an;

"And certainly , We shall test you with something of fear, hunger, loss of wealth, lives and fruits but give glad tidings to the PATIENT ONES".
(QUR'AN 2:155).

Kwa mujibu wa Qur'an hicho.ndicho huenda kilichotokea Turkey na Syria, hapo sasa Allah anaangalia watu wenye subira "the patient ones" ili awape habari njema, awape faraja nk.

Hao atheists wanatakiwa wasome iya aya ili wajifunze taratibu ya Mungu na hekima zake kwenye hii dunia yake.
Unaona ni sawa kuua maelf ya watu, ili tu upime uvumilivu wa waliobaki?

Allah mjuzi wa yote, hawezi kujua kiasi chetu cha uvumilivu mpaka alete tetemeko lenye kuua maelfu ya watu?
 
Waliokufa siku Zao za Kifo zilishafika ndio maana wamekufa…. Kwa hiyo ili uwamini Mungu yupo ulitaka watu wasife!?
Hili tetemeko ni ushaidi mwingine kuwa Mungu yupo anaweza kufanya chochote wakati wowote na mahala popote
Mrudie Mungu Kiranga …hujachelewa
Kama waliokufa wamekufa sababu siku zao za kifo zilishafika, basi hata ambao hawajafa ni kwa sababu siku zao za kifo hazijafika. Kwahiyo hakuna hoja ya "Allah".
 
Unaona ni sawa kuua maelf ya watu, ili tu upime uvumilivu wa waliobaki?

Allah mjuzi wa yote, hawezi kujua kiasi chetu cha uvumilivu mpaka alete tetemeko lenye kuua maelfu ya watu?

Utampangiaje mtu na mali yake??-- kuku mali yako kwanini umshikie bunduki wakati jioni ataingia bandani mwenyewe!!, wewe na mimi ni kama kuku wa Mungu na hapa duniani ni kama tupo bandani., Mungu kama akiudhika na maovu yetu anaweza kuipindua hii dunia kwa second na kila kitu kikatoweka.

Dunia yote na vilivyomo ni mali yake Mungu hata wewe kichwa ngumu ni mali yake na ndiye yeye aliyekuchagulia hiyo jinsia uliyonayo na kama angependa angekupa jinsia ya kike na usingemfanya kitu😏😏.

Mungu yeye kaona njia ya kuwapata wanyesubira ni kupitia njia hiyo ya tetemeko na katika hilo binadamu hana hiyari, yeye ndiye Mungu mwenye nguvu anatafuta watu wenye subira katika hali hiyo ya shida kwani kuwapata watu wenye nyoyo za subira katika faraja ni ngumu mno. Watu wenye subira wanaomtegemea yeye watu wasiokufuru katika shida hao ndio hatimaye atawapa; Glad tidings.
 
Kuna majitu mapumbavu sana. Yani sijui huwa yanatumia nini kufikiria. Allah hawezi kusifiwa kwa kuokoa hata nusu mtu, angesifiwa kwa kutoleta matetemeko in the first place
Ni mambo ya imani mku, yanakutaka ujiondoe akili kwanza. Watu wanashikwa tangu watoto, wakija kuwa wakubwa washaingia kwenye mtego wa "cognitive dissonance" tayari.
 
Unaona ni sawa kuua maelf ya watu, ili tu upime uvumilivu wa waliobaki?

Allah mjuzi wa yote, hawezi kujua kiasi chetu cha uvumilivu mpaka alete tetemeko lenye kuua maelfu ya watu?
Duniani Kuna watu zaidi ya bilioni 7 week kuchukua roho 46 unaona nyingi tena kwake hao n kidogo mno na hapo see ndio unaona kufa ni shida kubwa wakati Allah hapo ni wamepiga step moja kukisogelea Kiana kwaajili ya hukum
 
Waliokufa siku Zao za Kifo zilishafika ndio maana wamekufa…. Kwa hiyo ili uwamini Mungu yupo ulitaka watu wasife!?
Hili tetemeko ni ushaidi mwingine kuwa Mungu yupo anaweza kufanya chochote wakati wowote na mahala popote
Mrudie Mungu Kiranga …hujachelewa
Kuwapo kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, na kuwapo kwa kifo ni contradiction.

Mungu huyo angekuwepo, watu wasingekufa. Kifo kinaumiza, kinatenganisha wapendanao.

Huyo Mungu mwenye upendo wote si mkatili hivyo kuwatenganisha wanaopendana.

Kifo kinaonesha Mungu huyo hayupo, hakioneshi Mungu huyo yupo.
 
Post yako Hii, unazidi kuprove na kutudhirishia wakongwe JF kwamba Mungu yupo acha ujuaji
Hujaeleza ninathibitishaje Mungu yupo, umeeleza kama imani isiyo na sababu tu.

Eleza post yangu hii inathibitisha Mungu yupo, kwa sababu hii.

Unaelewa kwamba mjadala wowote kuhusu uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote unaonesha ushahidi kwamba Mungu huyo hayupo?

Unaelewa kwamba Mungu huyo angekuwepo, uwepo wake ungekuwa wazi kwa wote kwa aina ambayo hata mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana kufanyika?
 
jaribu kutumia akili hata kidogo alie leta mada hajashangilia yeye ameonyesha jinsi gani sayansi inavyo proves wrong before Allah. na kuhusu kufa elewa kua ni yeye Allah ndio aliepanga kufa wala kufa hakumsikitishi Allah kwa kua kwake yeye hakuna kufa isipokua ni kubadilisha maisha yaani kuhama hapa duniani na kwenda ishi akhera. na hao unaosema 46,000 ndio idadi aliepanga yeye katika hilo tukio. masikitiko na majonzi ni kwako wewe kwa kua yule aliehama hamtaonana nae tena katika maisha ya hapa duniani.

Pia kama utatumia akili vizuri utaona hata hao aliowaokoa kama onavyo dai wewe katika hilo tukio, iko siku watakufa kwa aina nyingine aliopanga yeye. hakuna atakae ishi hapa duniani milele
Nimemuuliza sayansi ni nini, mpaka sasa hajajibu.

Na wewe kwa kuandika tu "sayansi inavyo proves wrong before Allah" naona huwezi hata kuandika sentensi iliyonyooka, kwa hivyo ninapata shaka kama una uwezo wa kujadili mambo yanayotaka fikra tunduizi na abstract thinking.

"Sayansi inavyo proves wrong before Allah" maana yake ni nini sasa?

Unaelewa hata sayansi ni nini wewe?
 
Je, Wewe unajua sayansi ni nini??
 
Mkuu huwezi kunielewa umesha kua bias tayari, mada sio kuhusu majanga au natural calamities, mada husika ni how man can live more than 13days without food and water sayansi got it wrong, Allah can make human to live beyond science its my theme, not cause of natural hazard....
Nani kakwambia Allah kahusika lolote hapo
 
Back
Top Bottom