fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,033
- 5,014
Seven heaven?? Why not 30,0000 heavenWala Allah hapigiwi promotion ana jitoshereza, is the creator of the universe and the seven hevens.......
Seven heaven?? Why not 30,0000 heavenWala Allah hapigiwi promotion ana jitoshereza, is the creator of the universe and the seven hevens.......
Mkuu sasa kahusika kama sio Allah?Nani kakwambia Allah kahusika lolote hapo
Kumbe tetemeko limeletwa ,vitoto vichanga vimekufa kwa sababu ya tetemeko lililoletwa na Allah kwa makusudi ,shenziGet me right mkuu Allah anaweza kuua generation nzima wewe unaongelea watu 46000 tu, yeye ndo mwenye sabb kwanini alitaka wafe hao, na vile vile akaonyesha kwamba anaweza akanusuru binaadamu wawili baada ya siku 13, hapo kuna la kujifunza, tetemeko lililetwa na Allah kwa sekunde 45 watu 46000 walipoteza maisha ila kwa siku 13 akaponya wawili sie tunasema allahamudullah tu.
Unashangaa au unabisha, unajua theists mna kama upungufu fulaniKumbe tetemeko limeletwa na allah,JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala u allah
Geographical eventMkuu sasa kahusika kama sio Allah?
Qeqe aliyekwambia Allah amehusika ni nani? Weka ushahidiMkuu sasa kahusika kama sio Allah?
Pale pa jua kuzama matopeni tu, mhhhWanaume wawili wameokolewa nchini Uturiki wakiwa bado wana uhai baada ya siku 13 kupita tangu tetemeko la ardhi kupita nchini mwao, wakati wana sayansi wanatuambia kwamba binaadamu hawezi kuishi baada ya siku 5 mwanaume na siku 7 mwanamke, kwasababu eti mwili wa binaadamu kuhitaji maji na chakula ilikuwa hai, kwa kilichogundulika nchini Uturuki sayansi imekuwa proved wrong.
Jamani amini Allah ndo anaetoa uhai wa binaadamu na ndo anaeuchukua.View attachment 2525457
Ila kijana kilaza sana, hata huu mtindo wako wa kuhoji wa kitoto sana, matumizi ya "nge" yanaonyesha kutokuweza kuthibitisha juu ya hicho unachokidai. Lini utakuwa kijana kiakili na uhojaji ?Allah angekuwapo, kusingekuwa na tetemeko na watu 46,000 wasingekufa.
Unashangilia vipi watu wawili kuokolewa wakati watu 46,000 wamekufa na kitu ndiyo kwanza kinapiga upya huko Syria?
Watu 46,000 wamekufa, na idadi ya waliofariki inazidi kupanda siku hadi siku.
Wewe unashangilia Allah kaokoa watu wawili?
Kwani tayari ukifa unaanza kupeleka moto mkuuWale waliokufa wameshapata mabikira 72. Sasa hivi wanapiga miti tu
Hao Atheist hawana maswali magumu wala hawatokuja kuwa nayoz sababu wanamjadili Allah ambaye hawamjui, kwahiyo wanakosea. Allah ndiyo ameruhusu hayo yatokee kama nilivyo weka aya toka kwenye Qur'aan surat Al-Israa aya ya 58 mpaka 59.Kwenye uzi wako, umesema Allah ndie anaetoa uhai, na ndie mwenye uwezo wa kuuchukua. Hapo unakaribisha maswali ya Atheists ambao wanakuuliza, Allah alikua wapi wakati tetemeko linaua watu 46,000 mpaka leo tuje kumsifia kuokoa watu wawili?
Kwani maana ya upendo ni nini?hatari sana, yaani kaua watu 46000 halafu kuna maelfu kawaacha na vilema halafu mnasema ana upendo?? Dah, hili neno upendo tunahitaji kuli define upya aisee.
Ukishakufa tu unaingia peponi. Unapewa mabikra 72. Wewe kazi yako ni kupeleka moto tu.Kwani tayari ukifa unaanza kupeleka moto mkuu
Kwahiyo ukiwa na upendo hukiadhibu unachokipenda ? Sisi tuna wake na tuna watoto tunawaenda mno ila wakileta ujinga tunawaona onyo au kuwapa adhabu. Maana ya upendo inaingia adhabu, onyo na nasaha. Hii ndiyo maana kamili ya upendo.hatari sana, yaani kaua watu 46000 halafu kuna maelfu kawaacha na vilema halafu mnasema ana upendo?? Dah, hili neno upendo tunahitaji kuli define upya aisee.
Kwahiyo ukiwa na upendo hukiadhibu unachokipenda ? Sisi tuna wake na tuna watoto tunawaenda mno ila wakileta ujinga tunawaona onyo au kuwapa adhabu. Maana ya upendo inaingia adhabu, onyo na nasaha. Hii ndiyo maana kamili ya upendo.
Ndiyo maana mtu huitwa bwege akimpenda mtu pasi na kumuonya hata akikosea na mfano wa hayo.
Ndiyo maana tukasema vijana huwa mnakanusha mambo ambayo hamna Elimu nayo. Sasa hivi nabadilisha mtindo wa kujadiliana na watu kama nyinyi, nakuwa nawapa nafasi mjielezi na kujibu maswali.hatari sana,
ushoga uhalalishwe marekani ,tetemeko lipelekwe uturuki na syria wanakotunza quran ,duh
Huyu mungu uliemuandika wewe hapa,hana hekima!Utampangiaje mtu na mali yake??-- kuku mali yako kwanini umshikie bunduki wakati jioni ataingia bandani mwenyewe!!, wewe na mimi ni kama kuku wa Mungu na hapa duniani ni kama tupo bandani., Mungu kama akiudhika na maovu yetu anaweza kuipindua hii dunia kwa second na kila kitu kikatoweka.
Dunia yote na vilivyomo ni mali yake Mungu hata wewe kichwa ngumu ni mali yake na ndiye yeye aliyekuchagulia hiyo jinsia uliyonayo na kama angependa angekupa jinsia ya kike na usingemfanya kitu.
Mungu yeye kaona njia ya kuwapata wanyesubira ni kupitia njia hiyo ya tetemeko na katika hilo binadamu hana hiyari, yeye ndiye Mungu mwenye nguvu anatafuta watu wenye subira katika hali hiyo ya shida kwani kuwapata watu wenye nyoyo za subira katika faraja ni ngumu mno. Watu wenye subira wanaomtegemea yeye watu wasiokufuru katika shida hao ndio hatimaye atawapa; Glad tidings.
Tunamuhoji hapa hapa. Siwezi kupanda mbingu ya saba kwa sababu haipo!Hapa unamuhoji nani maxence sio? panda mbingu ya saba ukamuhoji.
MashaaAllahWanaume wawili wameokolewa nchini Uturiki wakiwa bado wana uhai baada ya siku 13 kupita tangu tetemeko la ardhi kupita nchini mwao, wakati wana sayansi wanatuambia kwamba binaadamu hawezi kuishi baada ya siku 5 mwanaume na siku 7 mwanamke, kwasababu eti mwili wa binaadamu kuhitaji maji na chakula ilikuwa hai, kwa kilichogundulika nchini Uturuki sayansi imekuwa proved wrong.
Jamani amini Allah ndo anaetoa uhai wa binaadamu na ndo anaeuchukua.View attachment 2525457