donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
Hebu acha masihara, like seriously?? Buku3??? Unaenda kula msosi au diamond karanga??bado nataka niende !hebu nichagulie msos usiozid buku 3 pls
Hebu acha masihara, like seriously?? Buku3??? Unaenda kula msosi au diamond karanga??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hahaha mbiti kumbe lunch yetu ni diamond karanga. Me sitaki khaaahahahahaha we ushakula ? uwiiiii !hatar hii ! umekula nn ww
Hahahahaha hahaha mbiti kumbe lunch yetu ni diamond karanga. Me sitaki khaaa
Daaah jaman pole nlisahau kukukaribisha mamahahahahaha we ushakula ? uwiiiii !hatar hii ! umekula nn ww
[emoji23] [emoji23]Hahahahaha hahaha mbiti kumbe lunch yetu ni diamond karanga. Me sitaki khaaa
Daaah jaman pole nlisahau kukukaribisha mamaView attachment 587525
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapi Jose....!? Ya Vijana [emoji115] [emoji115] [emoji115] ama ya Wakubwa..!![emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]mimi mgeni maeneo haya
Sent from my iDevice using Tapatalk
kote mkuuYapi Jose....!? Ya Vijana [emoji115] [emoji115] [emoji115] ama ya Wakubwa..!![emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
oooh nitaachaje mkuu ndio ulabu wangu magame
Sasaivi ni mwendo wa call of duty nakomaa nayo mkuuoooh nitaachaje mkuu ndio ulabu wangu magame
Hii kitu imenishinda kabisa.....!
Gaming chief?Hii kitu imenishinda kabisa.....!
YeahGaming chief?
That's my addiction plus moviesYeah