ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

ALL JF Members: WRITE DOWN HERE YOUR MARITAL STATUS.

duh!snowite love this!haya bana!mekusamehe bure!
Ahsante mwalimu.... Najisikia kama nimekaa pembeni ya Simon Petro tukimwimbia Mungu mapambio. Chezeya msamaha?

Nakulipa na faini kabisa, kama una risiti.

attachment.php
 
Ahsante mwalimu.... Najisikia kama nimekaa pembeni ya Simon Petro tukimwimbia Mungu mapambio. Chezeya msamaha?

Nakulipa na faini kabisa, kama una risiti.

attachment.php
[/QUOTE)duh !unafikiri hapa naruka kamba!?
 
Its quite O.K, I dont think this is a problem. For me, I am proud everyone to know that I am married and not otherwise!!
 
Mmetukremu ehhh.....No kwele tumebakiza wiki kazaa tufungue, yaani sasa hivi dada na kaka wa chuo especial hapa mountain wamechoka mbaya, nimeonana na kamiss fulani ka mwaka wa pili udbs kanachukua finance, kenywe kila siku ni kubadilisha mawingi tukiwa chuo na tukiwa kwenye msim wa boom, zaizi sasa nywele tu,,,hadi huruma dada zetu nanyi LIMBUKENI KWELI!!!!
 
i am SINGLE. And i love someone soo much but she seems not to UNDERSTAND!!!
 
Wanajf leo tutambuane nani yupo single, married, widow, etc
kama ulipigwa kibuti hapa uwe huru pia kutiririka na hii ina umuhimu mkubwa sana na itawasaidia wote wanaotafuta wapenzi kila siku hapa.

"UKWELI HUMWEKA MTU HURU KABISA."

Naanza mimi:
Bampami-Male-Single

Tiririka na wewe sasa...

Male-double.
 
Back
Top Bottom