KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
Dah!haya bwana fanya moyo unachokutma!
I will, as long as umeniruhusu.
Dah!haya bwana fanya moyo unachokutma!
z zt mrtl stt9?
Kumbe? Kama uko happly married, ikawaje tena ukafumaniwa?snowhite-woman HAPPLY MARRIED!
a bit like sipend sana ukinihusisha na picha za aina hii!offended to be frank!Kumbe? Kama uko happly married, ikawaje tena ukafumaniwa?
![]()
Nimekoma sitarudia tena mwalimu.a bit like sipend sana ukinihusisha na picha za aina hii!offended to be frank!
ahaahhaaahah adhabu yako ni kuchimba shimo likufunike usionekane!poa mkuu!Nimekoma sitarudia tena mwalimu.
Mwenzio nlivofumaniwa nlikubali yaishe LOL
![]()
Ahsante mwalimu. Sipendi kukosana na mwalimu kabisa. Mama alinambiaga kuliko ukosane na mwalimu wako ni heri uwe na bahati mbaya kama kiatu cha Mugabe. Eti ni heri uote jipu makalioni afu ukapanda DCM lenye siti za kutosha afu konda anakulazimisha ukae ili abiria nje wasidhani limejaa..... Khaaa!ahaahhaaahah adhabu yako ni kuchimba shimo likufunike usionekane!poa mkuu!
lol!yule ni pacha wangu jamani!
Ahsante mwalimu. Sipendi kukosana na mwalimu kabisa. Mama alinambiaga kuliko ukosane na mwalimu wako ni heri uwe na bahati mbaya kama kiatu cha Mugabe. Eti ni heri uote jipu makalioni afu ukapanda DCM lenye siti za kutosha afu konda anakulazimisha ukae ili abiria nje wasidhani limejaa..... Khaaa!