Aaah! Majukumu haya! On sasa nimeshachelewa kahawa. Usiwe na wasi wasi kuhusu mdogo wako Kaizer mie siri natunza vizuri. Kuhusu hilo tabasamu, yaani we acha tu, wakati mwingine huwa nimenuna lakini lenyewe lipo tu!
Na sie tutaliona lini tabasamu lako
AshaDii? Maana kila leo umelificha kwa kivazi cha usoni.