All JF members... Happy Holidays...



BAK,

Kuna watu wana vipaji vya ajabu na wamejaliwa sana.......Amazing, amazing...cute cute.....!!!!

Ndo maana inaniuma sana kukuta kajukuu ka mtu kama haka kanachezewa chezewa na watu wa dizaini ya Bishanga...

Ngoja niende zangu mie nikawahi kumwona bibi na wajukuu wengine....


Nawakia nyote siku kuu njema,

Babu DC!!
 
AfroDenzi!!

You honestly fascinate me with THE ART, CREATIVITY and GRAPHIC of your Works! I wish could have a daughter WITH THIS TALENTS!

BUT an-way!

For the time being let me wish you ... MARRY CHRISTMAS AND A HAPPY NEW YEAR!


Waoo I'm Speechless..
Thank you so much AJ.

To be compliantly honest with you , This is very , very simple and easy ...
takes about two minutes that's all..

my dear I would love to wish you & you're family a very special Xmass and all the blessings for New year ..

 
AD asante sana Mungu aendelee kukubariki
nakutakia pamoja na familia yako heri ya sikukuu
pamoja na members wote wa JF
M/Mungu aendelee kutujalia upendo, furaha na amani kwa mwaka 2012
 
Asante Afro!
Naomba unifundishe kuchora ivo
Kila siku na-admire kimya kimya
leo naku-PM

Karibu Dada Mkuu,

Kwa leo asiyeshangaa basi hata ukimfikisha ferry hataona kitu...

Naona umenasa kwenye mtego wa AD......

Jifunzeni mje kumpa burudani babu!!
 
AD asante sana Mungu aendelee kukubariki
nakutakia pamoja na familia yako heri ya sikukuu
pamoja na members wote wa JF
M/Mungu aendelee kutujalia upendo, furaha na amani kwa mwaka 2012

Hii ni kweli???

Mbona sina taarifa kwamba siku hizi AD ameshavuta mchuma????!!!!

Babu DC (1947)!!
 
Thank AD
Uwe na wakati mwema pia na msimu mwema wa sikukuu
Na memmbers wote wa JF muwe na msimu mwema wa sikukuu.
Nawatakieni kila la kheri

KAbisa mkuuu..
Tunashukuru sana kwa baraka zako..
ubarikiwe zaidi na zaidi.. Looking forward to see you in New years lol

............................
 
Babu DC familia ni mchuma saidia mimi hapo


Kwani siku hizi neno mchuma mnalitumiaje??

Enzi zetu ukiambiwa.."kamata mchuma....."....Maana yake ilikuwa pana na nzito!!

Ila naamini kajukuu kameelewa na katampa babu feedback!!

Babu DC (1947)!!
 

Sijui niseme nashukuru hayupo hapa
au niseme nashukuru hajui nilichosema..
hahahahah either way na simama na nilichosema..


Kama wewe ni babu bora wa 2011 basi bibi na yeye nampa
zawadi yake kwa kweli.. kama tujuavyo bibi is always Best of the best..
 
Kana ni program anipe at any cost
Kama ni utundu basi anigawie
nimechoka kuvumilia, ananirusha sana
ananikalisha kwenye tuthpick kila siku

LooH! Si unaona anavyozidi kushukaaa

... hapa kuna ka program etc.. hope atatusikia na kumaliza kiu yetu ujuzi! Lol
 
Asee....
Thanx AD....wewe ni wa ukweli....
Happy holidays to u!

 

hahahahahah
Captain unajua kunichekesha kwa kweli..
sasa jamani we si ndo una ujuzi kuliko mimi lolz..
Nway haina neno we enjoy hii Xmass New year nakuachia jahazi hahah..
sante sana BAK



hahahahahahah
Jamni babu kwa hiyo
Bishanga akileta mahari yangu
nyumbani hautapokea?


AD asante sana Mungu aendelee kukubariki
nakutakia pamoja na familia yako heri ya sikukuu
pamoja na members wote wa JF
M/Mungu aendelee kutujalia upendo, furaha na amani kwa mwaka 2012


Asante sana My dear ..
Ntakutafuta basi kabla ya Xmass tuongee kidogo..
kwa sasa nakutakia kila jema kwa Xmass hii na kila baraka
itokayo kwa mwenyeenzi Mungu .. My dear mwaka huu ulikuwa
mwaka wa furaha na karaha .. na sintokaa nikusahau maisha yangu yote
kwa kujitolea kwa nguvu zako zote kumsaidia Abbasi.. uzidishiwe mara elfu zaidi..
sina hata la kusema my dear .. Mungu awe nawe mpaka uwaonee vituukuu wa vituukuu
ubarikiwe sana kwa vizazi vyote.. One of the kind.. I respect you so much...


Hii ni kweli???

Mbona sina taarifa kwamba siku hizi AD ameshavuta mchuma????!!!!

Babu DC (1947)!!

hahahahahah siingilii ng'ooo..


Babu DC familia ni mchuma saidia mimi hapo

nawaacheni Babu DC na BW...

Kwani siku hizi neno mchuma mnalitumiaje??

Enzi zetu ukiambiwa.."kamata mchuma....."....Maana yake ilikuwa pana na nzito!!

Ila naamini kajukuu kameelewa na katampa babu feedback!!

Babu DC (1947)!!

Babu una maneno kwa kweli..
hahahah lol
 
Asante saaaaaaana Dada yangu. Happy Hollidays to you. Enjoy ur New Year. May God Bless uuuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…