nijuavyo D.Trump yuko loyal sana na hawezi kukusahau hata siku moja kama mlikuwa wote kwenye struggle, sasa hivi anampigania J.Bolsonaro hata tanzagiza tulikuwa wote kabla ya mapinduzi during Trump 1.0, sasa amerudi Trump 2.0 hivyo sitoshangaa kama M.Rubio yuko nyuma ya yote haya, tanzagiza watu wa serikali na mfumo mzima ni kiburi sana kuweza kuchachafya kiraihisi hivi na “kabalozi” tu ka kuba ambako walikateua wenyewe hata hivyo …
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.