All good men are married, so sad

Kama bado hujampata basi tuwasiliane pm. Nina sifa nyingi unazo zitaka. Muhimu tu uwe mzuri wa sura, umbo na tabia.
Maana huyo ndiye mke nimtakaye katika maisha yangu yaliyobakia hapa duniani.
 
Nini kilikupata mpaka ukafika 35?

Ulikosa mtu kipindi chote?

Maringo?

Au?
 
Age range uliyoweka Sherina sio ajabu kusema unaowapata wameshaoa
vijana ambao hatujaoa tupo under 30's
 
Age range uliyoweka Sherina sio ajabu kusema unaowapata wameshaoa
vijana ambao hatujaoa tupo under 30's
uko sahihi wengi wameshaoa. mimi sina shida na hilo nilitaka atakaepatikana mfano awe na taraka, au awe na mtoto analea ila haishi na mke ndani.au kabisa hajawahi kuoa wapo tho niwachache. na wengi najua ni viwanja vyenye mgogoro.
nilikuwa najaribu coz najua ni ngumu.

hata sisi wanawake wenye age yangu wengi nao wana migogoro, japo mimi ndo nilikuwa nimebaki sina mgogoro wowote ndoto yangu naona ikizima gafla . mbaya Zaidi siku nikifanya maamuzi ndo siku nitakutana na mwanaume mwenye uhitaji wakati huo mimi nitakuwa na kiwnja chenye mgogoro I mean mtoto. nahisi roho itauma ila hakuna namna.

hakuna kitu nachukia kama single mother. tuseme nimemkubalia huyo ambae niliongelea hapo juu atanifanyia yoote ila siwezi kuwa nae huru coz ndoa yake nayo ni muhimu. ila no way out. Mungu ataonesha njia soon.
 
Mungu akupatie hitaji la moyo wako .
Haijalishi miaka imeenda Yupo Mungu anayejibu kwa wakati .
 
Masharti ya mwenye shida mshirika wake ni Mungu, hapa ndio wanawake wenye jeuri ya kuchagua wao huwa sielewi mnaolewa nyie au mnaoa nyie, jipendekeze kwa yule ambae unajiona fala kwake. Sioni dalili ukiolewa na ukadumu hata 3yrs kwa hio mentality kama ni halisia, unaabudu vigezo vya kishetani wakati unaomba na kuhitaji baraka na hitaji la kimungu, na hata huyo mume utaishi kwa wewe kuwa juu yake na kubishana nae sana kwenye mambo mengi, unaamini nguzo za elimu, brain, kazi yako, kipato chako na unajihisi wewe ni mzuri, na nahisi unaamini trending yako ya digital forums. Sioni utii na unyenyekevu na hivyo mume wa mtu anakufaa zaidi.,
Finally, utapata mwenye 30-32 in 2023. Goodluck to you.

Salamu toka Nzilankende
 
Mwanaume anayejitambua hawezi kuoa type hii ya mwanamke! Unatanguliza mbele umahiri wako badala ya unyenyekevu, ukidumu na mtazamo huu jiandae kuwa na single parent family!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…