Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,358
- 7,981
Sasa huyo wife anatokea wapi bila hiyo stage ya girlfriend kila kitu ni hatua huwezi kusema atabadilikia kwenye ndoa wakati vigezo tunaangalia kwenye courtshipShida mnataka package ya wife kwa magirlfriend 😀😀😀😀😀 pambaneni