All girls and ladies zingatia ushauri huu

Mimi naona miaka hii ndoa imekuwa sio kipaumbele Cha wanawake wengi ingekuwa hivo nafikiri wote tungekuwa kwenye mstari mnyoofu Ili tupate ndoa lakini kilamtu anaishi anavyotaka haya mnayaongea kilasiku lakini ndo yanashamiri Mimi naona nyie ndo mnaitaka sana ndoa kuliko wanawake wanavyotamani kuolewa mmekuwa Lia Lia mno 😂

Na hata mlioona wanawafaa Kwa mloongelea tabia nidhamu wengi walijifanya watiifu kuitaka harusi na ilivopita wameyaacha wanaishi maishayao hakuna tendo la ndoa Wala utii wala nn tena ni vyumaulete wakubwa ukibisha kawaulize ukweni wanayofanya bila nyie kujua na wachache waliooa kweli wakapata wake wema ila wengine ni waombelezaji wa ndoa na malalamiko yasioisha
Na kunawanawake wazuri na tabia nzuri pia wameolewa na wanaume wa ovyo sana
Ni kuombeana tu

Tuombe Mungu tu kwakweli atupe watu sahihi lakin bila kusahau mtupumzishe siku moja moja tunachoka😂😂masimango looh🤣
To yeye
 
Ha ha ha,tukiwasimanga wao wanafura na matusi juu
 
Mimi naona miaka hii ndoa imekuwa sio kipaumbele Cha wanawake wengi ingekuwa hivo nafikiri wote tungekuwa kwenye mstari mnyoofu Ili tupate ndoa lakini kilamtu anaishi anavyotaka haya mnayaongea kilasiku lakini ndo yanashamiri Mimi naona nyie ndo mnaitaka sana ndoa kuliko wanawake wanavyotamani kuolewa mmekuwa Lia Lia mno [emoji23]

Na hata mlioona wanawafaa Kwa mloongelea tabia nidhamu wengi walijifanya watiifu kuitaka harusi na ilivopita wameyaacha wanaishi maishayao hakuna tendo la ndoa Wala utii wala nn tena ni vyumaulete wakubwa ukibisha kawaulize ukweni wanayofanya bila nyie kujua na wachache waliooa kweli wakapata wake wema ila wengine ni waombelezaji wa ndoa na malalamiko yasioisha
Na kunawanawake wazuri na tabia nzuri pia wameolewa na wanaume wa ovyo sana
Ni kuombeana tu

Tuombe Mungu tu kwakweli atupe watu sahihi lakin bila kusahau mtupumzishe siku moja moja tunachoka[emoji23][emoji23]masimango looh[emoji1787]
To yeye
Wasipokuelewa basi

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom