Hakuna kitu kama "hacker no. 3" hakuna any measure ya kusema unaweza tumia ku-rank hackers, haijawahi kuwepo na haitokuja kuwepo. Hayo unayoyaona kwenye TV series usiwe unayachukulia kama ni ukweli, hackers wengi wa ki-hollywood hua ni imagery tu ya kufanya show kua interesting, ukweli ni kwamba hackers wa level ile duniani hawapo.