Watanzania ila tumezidi, mimi huwa naenda hapo jirani tu Kenya, huwezi kuta mkenya anatzama sijui StarTV, itv , au EATV, hata hiyo EATV ina jila la kiafrica mashariki but ukienda Kenya na uganda hakuna mtu anaye tazama. sasa njoo Bongo, Watanzania wengi sana wanatazama TV za kenya, na hata magazeti ya kenya yanauzwa sana Tanzania but nenda Nairobi kama utakuta hata The Guardian,