Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Hivi kwa hapa Tanzania tunaweza pata hizi chaneli za Aljazeera sport 1,2,3,4.....10?? Kwa dishi la ukubwa upi?,Risiva ya aina gani?(Uwezo gani) na engo ipi??
MR ARSENAL

Kaka ninayo ya abhu dhabi aina ya Humax HD na na inakadi zake mbili dish futi8,labda beam ndio dosari nipo huku Mpanda-Katavi,mkoa mpya zamani tulijulikana kama Rukwa.Hizi zinapatikana kwa kutumia dish kubwa kuanzia ft8 na decoder(king'amuzi) ni ya Abudhabi degree7 west
hizo channel sisi watanzania tunalazimisha tu, lakini kwa huko mpanda si mbali kiasi ya kuzikosa kabisa kabisa. unatakiwa uwe na dish futi nane na lnb ya ku band au kichwa kidogo. lakini iwe kaaaliiii zile ziloandikwa design for weak signals.Kaka ninayo ya abhu dhabi aina ya Humax HD na na inakadi zake mbili dish futi8,labda beam ndio dosari nipo huku Mpanda-Katavi,mkoa mpya zamani tulijulikana kama Rukwa.
Kaka ninayo ya abhu dhabi aina ya Humax HD na na inakadi zake mbili dish futi8,labda beam ndio dosari nipo huku Mpanda-Katavi,mkoa mpya zamani tulijulikana kama Rukwa.
Hizi zinapatikana kwa kutumia dish kubwa kuanzia ft8 na decoder(king'amuzi) ni ya Abudhabi degree7 west
Dish inategemea na sehemu,maana bei ya hapa kwetu tofauti na Dar,si unajua mambo ya biashara ila hiyo dekoda ya HUMAX ndio rafiki yangu aliniletea toka Oman ni HD.tunaomba kujua gharama za hyo decoder na hlo dish la futi nane
decoder ya humax ni sh ngapi? na aljazeera sports card sh ngapi? na zinapatikana wapi?decoder inazotumia zinaitwa humax