Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,412
- 9,055
Kama hujui ukweli wa kinachoendelea nchini sina njia ya kukuelezea,laumu tumbo lako kuendekeza njaa na kufunga ubongo.Ukweli ni upi kwa mtazamo wako?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kama hujui ukweli wa kinachoendelea nchini sina njia ya kukuelezea,laumu tumbo lako kuendekeza njaa na kufunga ubongo.Ukweli ni upi kwa mtazamo wako?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Wewe ulikuwa mchungaji kutoka mkoa gani?Tatizo mnataka wachungaji watembee kwenye mitazamo yenu, sasa hiyo sio imani.
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
2 Timotheo:4.3
Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti;
2 Timotheo:4.4
nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Amewajibu kwa kusema demokrasia nchini ipo,lkn sio kuandamana,na mikutano hawajazuiwa bali wafanyie sehemu zao,(akimaanisha mbunge afanye siasa jimboni kwake tu)maana yake ni kuwa mwenyekiti wa chama taifa,katibu mkuu taifa,mwenezi wa chama taifa,kama sio wabunge basi hawaruhusiwi kufanya siasa.hiyo ndiyo demokrasia anayoamini mh rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulikuwa mchungaji kutoka mkoa gani?
Aaa-aa. Sio UVCCM, bali ni UWW CCM. (Umoja wa Wachungaji ccm.)Kuanzia J2 ijayo nyie wachungaji mtakula jeuri yenu ya kujifanya UVCCM, mtapokea sadaka ya sh 100 kwasababu mmetutia aibu sisi wafuasi wenu. mmeshindwa kutusemea na mkajifanya chakubanga
Kama alivyo mkuu wetu..Ukiona mtu anapenda kusikia anayopenda kuyasikia tu jua kuna tatizo mahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama naye alikuwepo na kasifia badala ya kuzungumza Hali halisi amezinguaNimeshangaa Father Kitima kujishushia heshima,nilitegemea ataongea ukweli kaenda kusifia....AU SABABU JOHN MKATOLIKI MWENZETU?
Kama wale ndiyo viongozi wa dini basi nitaenda mbinguni kwa juhudi zangu binafsi.
Duuuhh!!Hakusema Lolote Pengo
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Amewaambia Wazi Wazi Wasiwe Wepesi Kukosoa Watu Wakati Wenyewe Siyo Wasafi Wana Makandokando Mengi Sana
Ila Kwa Kuwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ana Kifua Kipana Anatunza Siri Nzito Za Viongozi Wa Dini
Yaani Haa[emoji16][emoji3][emoji23][emoji2][emoji1][emoji1787]