Aliyeweka Nyama ya nguruwe Msikitini Afariki

Aliyeweka Nyama ya nguruwe Msikitini Afariki

Status
Not open for further replies.
Munajipendpost: 19096604 said:
Mimi nina mpango wa kusukumia Nguruwe mzima Ijumaa moja
We jamaa unajipenda kweli lazima wakugawane wakikutia mkononi, afu usiombe wakapiga lile yowe lao la kuhamasishana.
 
jaribu, mk,u,nd,u ww
Dah, mkuu hebu jitahidi kuvumilia na kutumia lugha za kiungwana. Ni wazo tu, kitabu chako kitukufu kinakataza lugha kama hizo. Ni angalizo la kiungwana.
 
sema amekufa co amekufa 7bu ya kuwek nyama ya nguruwe msikit
Hakuna sehemu yeyote ambayo mleta mada amesema huyo jamaa amekufa kwasababu ya kuweka hiyo nyama ya nguruwe Msikitini,

Muwe mnasoma na kuelewa kwanza kabla ya kukurupuka tu na ku comment,

Ndio maana kuna sehemu ya hiyo habari inasema uchunguzi bado unaendelea kujua chanzo cha kifo chake.
 
Tatizo hajampokea Yesu, Yesu ni kiboko ya ujinga wote,
mimi mwenyewe wamenirushia majini weee tangu 2009 mpaka leo wamehoka ,kijana mpe Yesu maisha yako akulinde na uchawi ,majini ,ahalilbadl na kisha akubariki na mwisho kabisa uende mbinguni
 
Kama unasikiaga Ujasusi... Kazi zake ni pamoja na hizo..... Huyo mtu angeleta machafuko kwahiyo bora kupotea kiinterijens
 
Tatizo hajampokea Yesu, Yesu ni kiboko ya ujinga wote,
mimi mwenyewe wamenirushia majini weee tangu 2009 mpaka leo wamehoka ,kijana mpe Yesu maisha yako akulinde na uchawi ,majini ,ahalilbadl na kisha akubariki na mwisho kabisa uende mbinguni
Zombi na nyumbu number moja hilo.....😀
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom