Aliyeweka Nyama ya nguruwe Msikitini Afariki

Status
Not open for further replies.
nakemea sana vitendo vya kudhihaki imani ya mtu. huyu jamaa hakutenda vema kabisa. mimi ni mkristu haswa ila naheshimu sana imani za wengine kama ambavyo mimi pia nataka waiheshimu imani yangu. kitendo cha jamaa kuweka nyama ya nguruwe msikitini nakilaani sana. btw, apumzike panapomstahili.
 
Kwahiyo mnataka kuhusisha kifo chake na kuweka kitimoto mwenye mlango Wa msikiti?
Wakifikiria hivyo wanataka kuturudisha tulikotoka. Maana watu watajaribu hafu wasipokufa, iwe shida kwa jamiii. Refer isue ya wale watoto wa mbagala
 
Ni vyema kuheshimu imani za watu. Mimi ni mkristo lakini kwa hili huyu bwana alivuka mpaka! Apumzike anapostahili.
Amekufa kwa matatizo yake, siyo la kuweka nyama hapo. Kama ni kazi ya mungu, kwa nini ichelewe? Kutoka july hadi dec 30?
 
Huenda kifo chako kilikuwa kimefika kwa bahati kikaambatana na tukio alilofanya sasa hapo watataka kulhusisha kifo na hilo tukio, but hakufanya kitendo cha kiungwana kuweka nyama ya kiti moto msikitin huku akifahamu fika anawakwaza waislam.JAMBO HILO HALIKUBALIKI KABISA
Kweli kabisa, maana alihatarisha maisha yake kabisa
 
Imani ya mtu ni kitu cha kuheshimiwa sana. ..kwani yeye ni nani wa kufikiria kwamba imani yake ni bora kuliko ya mwingine? LAZIMA TUWE NA BUSARA NA HEKIMA KATIKA MAMBO YOTE HIYO NDIYO SIRI YA MAFANIKIO. ...UPENDO NDIYO FUNGUO YA BARAKA ZOTE. ...HERI YA MWAKA MPYA 2017
IMG-20161229-WA0004.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom