Amebakia na shirika la ndege la kwenye briefcase hata secretary hana.Masha apumzike tu afanye vitu vingine , alipata nafasi enzi za kikwete akaichezea ,kila kitu anachofanya kinamshinda ,alianzisha kampuni ya kuzoa taka imekufa kifo cha mende ,wajuba wakamuingiza mkenge akatupa fedha fastjet nayo imekufa kifo cha mende,sasa vijisent vilivyobaki anataka kuviteketeza kwenye kuwania ubunge!!
Biashara inayoanzishwa kutegemea upigaji na kubebwa haiendi popote. Uongozi ukibadilika kidogo tu na biashara inakufa. Hawa miaka ya mwanzoni ya Kikwete walibebwa lakini wakajisahau na kujiona watakuwa juu milele. Mwangalieni Makonda sana sana. Kuna uwezekano ikaja kufika wakati akarudi kwenye hali mbaya sana. Japokuwa najua anajilimbikizia sana sasa hivi lakini maadui anaowatengeza ni wengi sana na Magufuli akiondoka atakiona cha mtema kuni.Masha apumzike tu afanye vitu vingine ambavyo haviingizi mtaji mkubwa kama kuuza duka/genge etc , alipata nafasi enzi za kikwete akaichezea ,kila kitu anachofanya kinamshinda ,alianzisha kampuni ya kuzoa taka imekufa kifo cha mende ,wajuba wakamuingiza mkenge akatupa fedha fastjet nayo imekufa kifo cha mende,sasa vijisent vilivyobaki anataka kuviteketeza kwenye kuwania ubunge!!
Mwaka huu hakuna jimbo rahisi. Hali ni tete kila jimbo. Na bahati mbaya sana wagombea wengi sana wamekimbilia CCM wakiamini kuwa Dola itawabeba. Sasa huko hakutoshi na wengi watakaokosa nafasi ''uzalendo'' utawashinda na kujikuta wanafanya vitu visivyotegemewa. Hili limesababishwa na Magufuli mwenyewe kudhani kuua upinzani ndiyo kuijenga CCM. Siku zote chama kilicho madarakani hakifi kwa sababu kimezidiwa na upinzani bali kinakufa kwa sababu kinajiua chenyewe.Bora angeenda gombea huko Buchosa siasa ya Sengerema mjini ngumu.
maslahi mkuu. Lilikuwa ni suala la wakati tu maana kwa anavyoonekana hakuwa mtu wa kukaa upinzaniHana msimamo, alikuwa ccm akahamia cdm, akatoka cdm akarudi ccm.Nyerere aliwahi kusema kuna wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya, huyu ni mmoja wao
Hana msimamo, alikuwa ccm akahamia cdm, akatoka cdm akarudi ccm.Nyerere aliwahi kusema kuna wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya, huyu ni mmoja wao
There you are!!! Makonda amekuwa bilionea kwa haraka sana na sayansi inasema "to every action there is an equal and opposite reaction" kwahiyo waliombeba wakitoka madarakani ataporomoka hivyo hivyo kwa kasi kama alivyoingia.Biashara inayoanzishwa kutegemea upigaji na kubebwa haiendi popote. Uongozi ukibadilika kidogo tu na biashara inakufa. Hawa miaka ya mwanzoni ya Kikwete walibebwa lakini wakajisahau na kujiona watakuwa juu milele. Mwangalieni Makonda sana sana. Kuna uwezekano ikaja kufika wakati akarudi kwenye hali mbaya sana. Japokuwa najua anajilimbikizia sana sasa hivi lakini maadui anaowatengeza ni wengi sana na Magufuli akiondoka atakiona cha mtema kuni.
Jimbo la kawe mpaka leo saa 7 mchana watia nia wa ccm walifikia 120.Mwaka huu hakuna jimbo rahisi. Hali ni tete kila jimbo. Na bahati mbaya sana wagombea wengi sana wamekimbilia CCM wakiamini kuwa Dola itawabeba. Sasa huko hakutoshi na wengi watakaokosa nafasi ''uzalendo'' utawashinda na kujikuta wanafanya vitu visivyotegemewa. Hili limesababishwa na Magufuli mwenyewe kudhani kuua upinzani ndiyo kuijenga CCM. Siku zote chama kilicho madarakani hakifi kwa sababu kimezidiwa na upinzani bali kinakufa kwa sababu kinajiua chenyewe.
unasema?jamani twende taratibu hii nchi kwa sasa watiaji wamekuwa wengi