Uchaguzi 2020 Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Laurance Masha achukua fomu kuomba ridhaa kugombea Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia CCM

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,174
4,062
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Laurance Masha (kulia) akichukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Sengerema

Masha.jpg
 
Alikua anajisikia kipindi fulani ktk uongozi wake kuna angle tulikutana alikua ananata kishenzi ila dunia hii na mambo ya siasa bwana vikamfanya apotee kwenye ramani.
 
Masha apumzike tu afanye vitu vingine ambavyo haviingizi mtaji mkubwa kama kuuza duka/genge etc , alipata nafasi enzi za kikwete akaichezea ,kila kitu anachofanya kinamshinda ,alianzisha kampuni ya kuzoa taka imekufa kifo cha mende ,wajuba wakamuingiza mkenge akatupa fedha fastjet nayo imekufa kifo cha mende,sasa vijisent vilivyobaki anataka kuviteketeza kwenye kuwania ubunge!!
 
Masha apumzike tu afanye vitu vingine , alipata nafasi enzi za kikwete akaichezea ,kila kitu anachofanya kinamshinda ,alianzisha kampuni ya kuzoa taka imekufa kifo cha mende ,wajuba wakamuingiza mkenge akatupa fedha fastjet nayo imekufa kifo cha mende,sasa vijisent vilivyobaki anataka kuviteketeza kwenye kuwania ubunge!!
Amebakia na shirika la ndege la kwenye briefcase hata secretary hana.
 
Masha apumzike tu afanye vitu vingine ambavyo haviingizi mtaji mkubwa kama kuuza duka/genge etc , alipata nafasi enzi za kikwete akaichezea ,kila kitu anachofanya kinamshinda ,alianzisha kampuni ya kuzoa taka imekufa kifo cha mende ,wajuba wakamuingiza mkenge akatupa fedha fastjet nayo imekufa kifo cha mende,sasa vijisent vilivyobaki anataka kuviteketeza kwenye kuwania ubunge!!
Biashara inayoanzishwa kutegemea upigaji na kubebwa haiendi popote. Uongozi ukibadilika kidogo tu na biashara inakufa. Hawa miaka ya mwanzoni ya Kikwete walibebwa lakini wakajisahau na kujiona watakuwa juu milele. Mwangalieni Makonda sana sana. Kuna uwezekano ikaja kufika wakati akarudi kwenye hali mbaya sana. Japokuwa najua anajilimbikizia sana sasa hivi lakini maadui anaowatengeza ni wengi sana na Magufuli akiondoka atakiona cha mtema kuni.
 
Bora angeenda gombea huko Buchosa siasa ya Sengerema mjini ngumu.
Mwaka huu hakuna jimbo rahisi. Hali ni tete kila jimbo. Na bahati mbaya sana wagombea wengi sana wamekimbilia CCM wakiamini kuwa Dola itawabeba. Sasa huko hakutoshi na wengi watakaokosa nafasi ''uzalendo'' utawashinda na kujikuta wanafanya vitu visivyotegemewa. Hili limesababishwa na Magufuli mwenyewe kudhani kuua upinzani ndiyo kuijenga CCM. Siku zote chama kilicho madarakani hakifi kwa sababu kimezidiwa na upinzani bali kinakufa kwa sababu kinajiua chenyewe.
 
Hana msimamo, alikuwa ccm akahamia cdm, akatoka cdm akarudi ccm.Nyerere aliwahi kusema kuna wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya, huyu ni mmoja wao
maslahi mkuu. Lilikuwa ni suala la wakati tu maana kwa anavyoonekana hakuwa mtu wa kukaa upinzani
 
Hana msimamo, alikuwa ccm akahamia cdm, akatoka cdm akarudi ccm.Nyerere aliwahi kusema kuna wanasiasa wenye tabia za kimalaya malaya, huyu ni mmoja wao

H
Biashara inayoanzishwa kutegemea upigaji na kubebwa haiendi popote. Uongozi ukibadilika kidogo tu na biashara inakufa. Hawa miaka ya mwanzoni ya Kikwete walibebwa lakini wakajisahau na kujiona watakuwa juu milele. Mwangalieni Makonda sana sana. Kuna uwezekano ikaja kufika wakati akarudi kwenye hali mbaya sana. Japokuwa najua anajilimbikizia sana sasa hivi lakini maadui anaowatengeza ni wengi sana na Magufuli akiondoka atakiona cha mtema kuni.
There you are!!! Makonda amekuwa bilionea kwa haraka sana na sayansi inasema "to every action there is an equal and opposite reaction" kwahiyo waliombeba wakitoka madarakani ataporomoka hivyo hivyo kwa kasi kama alivyoingia.

Masha amechezea shilingi chooni na imetumbukia ,wakati ameegemea mbuyu alijisahau ,kutwa kushinda club na mademu mpaka U-turn wanatoa kashfa zake kila siku,amekumbuka shuka kushakucha,tumuache aione ngondoigwa maana ameitaka mwenyewe!!
 
Mwaka huu hakuna jimbo rahisi. Hali ni tete kila jimbo. Na bahati mbaya sana wagombea wengi sana wamekimbilia CCM wakiamini kuwa Dola itawabeba. Sasa huko hakutoshi na wengi watakaokosa nafasi ''uzalendo'' utawashinda na kujikuta wanafanya vitu visivyotegemewa. Hili limesababishwa na Magufuli mwenyewe kudhani kuua upinzani ndiyo kuijenga CCM. Siku zote chama kilicho madarakani hakifi kwa sababu kimezidiwa na upinzani bali kinakufa kwa sababu kinajiua chenyewe.
Jimbo la kawe mpaka leo saa 7 mchana watia nia wa ccm walifikia 120.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom