Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,668
- 49,657
Ninataka kukopa pesa hii Agosti. Nilijaza fomu PEPMIS ku submit tu. Vipi nikisubmit inachukua mda gani kupata pesa?
Kuna mchakato mwingine nitapaswa kufanya kwa upande wangu au nitakuwa nimeshamaliza kazi?
Thanks
Kuna mchakato mwingine nitapaswa kufanya kwa upande wangu au nitakuwa nimeshamaliza kazi?
Thanks