Kilongawima
Member
- May 23, 2018
- 61
- 28
Tunaendelea kumshawishi aliyebomolewa atupe ruhusa ya kueleza kila kitu ili watanzania wajue bado tupo kwenye mchakato
Kiwanja kinhusiana nini na uislamLazima yawepo. Maana kufanya kazi moja tu ya kuimba na kusifu milele tutakuwa tunaboreka.
Waislam wao mbingu yao wanaume watapewa wanawake warembo mabikra wapigane miti.
Sasa bila madala dala mabikra watafikaje alipo bwana juma
Ni sawa tu na gazeti la kufungia chips kavu kama hakuna Right of occupancy.View attachment 2923000
Kibali anacho, Hati za umilki kutoka ardhi anazo, mabadiriko ya matumizi ya ardhi anayo.
Kiwanja kinhusiana nini na uislam
Ni wazi kabisa hapa waziri ana maslahi binafsi....how comes waziri asimamie inshu ndogo kama hiyo, ni kwamba wasaidizi wake hawapo?....hii ngozi nyeusi hakika ililaaniwa.Waziri anasimamia uvunjwaji wa nyumba????? Hii nchi tukifanikiwa kufika mbinguni tutapangiwa kazi ya kudeki vyoo vya stendi za daladala....
Aisee bora serikali ipitishe hata Bomba la maji machafu itasaidia wengineo, hivi unajua kwa hiyo miaka 20kahangaika kiasi gani kudai kiwanja chake??, je kapishana kwenye hayo makorido ya halmashauri, wizarani, S/Mtaa na sehemu nyingine mara ngapi akidai haki yake???Kwanza ijulikane sitetei dhulma ktk ardhi ya mtu,iko hivi bro!
Hapo nyuma kidogo hivi viwanja tunavyonunua leo watu walikuwa hawana akili kwamba kabla hawajalipa hela waende wakahakiki wizara ya ardhi kama wanaowauzia ni wamiliki halisi au lah so mtu aliyenunua kiwanja kwa hela yake wakati huo angepigana kufa kupona aseme ni chake.
Well hiyo kusema ungekataa ni kawaida yetu Watanzania hatutakiani mema,so ardhi yako ina thamani ya 100Mill aliyekuvamia aseme anakupa hela hiyo ila wewe kwa sababu unahisi una haki sana unakataa alimradi avunje uje umuuzie mwengine?je serikali ghafla ikitangaza kupitisha bomba la maji?ni utoto tu na roho mbaya.
Kama mwenye nyumba kagoma kutoa ulitaka tufanyaje?Ila waziri huyu bwana,si kuna vitu vingehamishwa kwanza kama Feniture mabati,Mungemuondoa kwa nguvu huo sio ustaarabu
Aliambiwa akaogoma sbb anasema kiwanja ni chake na ni halaliHuu nao ni utahira kwanini serikali isiamuru hiyo nyumba iwe miliki ya huyo mama?
Au busara iamue kumlipa huyo maza angalau milioni 50-100 au amlipe sawa na thamani halisi ya ardhi hiyo kisha Jamaa aendelee kumiliki nyumba yake.
Huyo mama yawezekana angejenga vijumba kama vya kufugia kuku aishi yeye na familia yake.
Viongozi matahira, hawa wana akili za kipumbavu kama za Magufuli za kufyeka mahindi ya Mbowe
KumbeAliambiwa akaogoma sbb anasema kiwanja ni chake na ni halali
Nipo mkuu. Nikikaribia kudedi ntakustua unifanyie sala ya toba.Mkuu kumbe hupo? Ulipotea wapi? Pia GT @skykapotea sana. Hope everything is okay.
Jumuiya ya Afrika Mashariki, makao makuu Arusha hapa....Sina neno.Jumuiya umeenda?
Unamdhalilisha huyu jamaa.... kule haitwi hivyo, anaitwa Shetty.🤭Tunasali hapo hapo haturuhusiwi kutoka nje ya mji wa lulu na dhahabu....ukitoka tu unakutana na bwana sheta unachomwa moto
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂mbingu gani ina stand
mbingu gan ina daladala
Au mbingu yako
Safi.Jumuiya ya Afrika Mashariki, makao makuu Arusha hapa....