Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,821
- 156,964
Sema tu sheria hainagq machoUmewaza kama mimi, yan dah
Sema tu sheria hainagq machoUmewaza kama mimi, yan dah
mbingu gani ina standWaziri anasimamia uvunjwaji wa nyumba????? Hii nchi tukifanikiwa kufika mbinguni tutapangiwa kazi ya kudeki vyoo vya stendi za daladala....
Kuna watu huwa hawatembelei viwanja vyao miezi. Au wanafanya kazi nje ya nchi. Siku unaenda unakuta ghorofa limesimama watu wanaishi utafanyaje? Hapo na yeye ana nyaraka za wizarani.Mamaaaeee narudia tena mamaaee wawaonee hao hao tu mm ujenge kwenye eneo langu ninalo limiliki kihalali harafu eti niende mahamani nitakua chizi tunamalizana kitaa tu huyo hururu acha asumbue wajinga jinga yaaan huyo aingie anga xa watoto wa mjini mbona atafurahi
Hata wewe ni mbongo Kwa hiyo ni fala?Sema wabongo nao ni mafalla hatari.
Hiyo nyumba huenda imejengwa kienyeji tu.
Hakuna kampuni iliyosajiliwa na CRB itakubali kujenga nyumba isiyo na kibali.
Mtu anaamua kuharibu pesa kujenga kienyeji na kuhatarisha uhai wa familia yake, duuh
Yeye mbona haukuwa mstaharabu mpaka HAKI imepatikana baada ya miaka 20?Ila waziri huyu bwana,si kuna vitu vingehamishwa kwanza kama Feniture mabati,Mungemuondoa kwa nguvu huo sio ustaarabu
Ndio.Umeona jina la mlalamikaji?
Sasa walalahoi watapanda nini wakienda kusali?Babu mbinguni kuna madaladala tena👀
Alievunjiwa angekua na ustaarabu asingedhulumu eneo lisilokuwa lake; hivyo kusingekuwa na huu mgogoro !Ila waziri huyu bwana,si kuna vitu vingehamishwa kwanza kama Feniture mabati,Mungemuondoa kwa nguvu huo sio ustaarabu
Unaongea kirahisi sana labda hayajakukuta bado huyo mtu ni tapeli sanaNajua wavamizi wa viwanja wanakera sana lakini waziri angewaweka pamoja wapatanishwe jamaa alipie kiwanja.
Akigoma ndipo kibomolewe nyumba
Au Naomi ni mchepuko wa mheshimiwa?Ndio mpaka Waziri akasimamie? Au Naomi ni mchepuko wa mheshimiwa?
Yale ya ungoBabu mbinguni kuna madaladala tena
🤭Tunasali hapo hapo haturuhusiwi kutoka nje ya mji wa lulu na dhahabu....ukitoka tu unakutana na bwana sheta unachomwa motoSasa walalahoi watapanda nini wakienda kusali?
Kama aliyoona zumaridiYale ya ungo
Sasa huyo mwenye kiwanja mzembe kiwanja ukinunua ukaona huwezi kujenga kwa wakati huo weka fensi ama jenga kajumba ka vyumba viwili mpe mtu akae na huyo mtu kuwa na mawasiliano nae ya kila mda na misaada ya kutosha.Sasa hao wakaa nje miaka kumi eneo limebaki kichaka hulisafishi hapo sawa.Kuna watu huwa hawatembelei viwanja vyao miezi. Au wanafanya kazi nje ya nchi. Siku unaenda unakuta ghorofa limesimama watu wanaishi utafanyaje? Hapo na yeye ana nyaraka za wizarani.
He, lile gorofa iliamriwa ni Mali ya mwenye kiwanjaHakuna cha ajabu hapo S.H Amon alivunjiwa ghorofa kariakoo
Ukivamia kiwanja cha mtu lazima kitakukukuta kitu
Naomba kuulizia, mtu akijenga bila building permit serikali kisheria inaweza KUVUNJA NYUMBA yake?Kama Kuna umuhimu wa kufanya hivyo sawa. Lakini lazima pande mbili zikubaliane.
Kisheria, hata building permit ni void. Kwa hiyo hilo Jengo halitakiwi kuwepo hapo.
La sivyo utavamia kiwanja, unajenga halafu utamlipa mtu hela ya kiwanja.
Kwanza hapo Mesne profits na gharama nyingine hata ya kubomoa alipewa.