Aliyevamia Kiwanja cha mwingine kwa miaka 20 Mbezi Africana avunjiwa ghorofa

Mamaaaeee narudia tena mamaaee wawaonee hao hao tu mm ujenge kwenye eneo langu ninalo limiliki kihalali harafu eti niende mahamani nitakua chizi tunamalizana kitaa tu huyo hururu acha asumbue wajinga jinga yaaan huyo aingie anga xa watoto wa mjini mbona atafurahi
Kuna watu huwa hawatembelei viwanja vyao miezi. Au wanafanya kazi nje ya nchi. Siku unaenda unakuta ghorofa limesimama watu wanaishi utafanyaje? Hapo na yeye ana nyaraka za wizarani.
 
Sema wabongo nao ni mafalla hatari.

Hiyo nyumba huenda imejengwa kienyeji tu.

Hakuna kampuni iliyosajiliwa na CRB itakubali kujenga nyumba isiyo na kibali.

Mtu anaamua kuharibu pesa kujenga kienyeji na kuhatarisha uhai wa familia yake, duuh
Hata wewe ni mbongo Kwa hiyo ni fala?
Nadhani hapo fala ni huyo tapeli Mushi
 
Kuna watu huwa hawatembelei viwanja vyao miezi. Au wanafanya kazi nje ya nchi. Siku unaenda unakuta ghorofa limesimama watu wanaishi utafanyaje? Hapo na yeye ana nyaraka za wizarani.
Sasa huyo mwenye kiwanja mzembe kiwanja ukinunua ukaona huwezi kujenga kwa wakati huo weka fensi ama jenga kajumba ka vyumba viwili mpe mtu akae na huyo mtu kuwa na mawasiliano nae ya kila mda na misaada ya kutosha.Sasa hao wakaa nje miaka kumi eneo limebaki kichaka hulisafishi hapo sawa.
 
Kama Kuna umuhimu wa kufanya hivyo sawa. Lakini lazima pande mbili zikubaliane.
Kisheria, hata building permit ni void. Kwa hiyo hilo Jengo halitakiwi kuwepo hapo.
La sivyo utavamia kiwanja, unajenga halafu utamlipa mtu hela ya kiwanja.
Kwanza hapo Mesne profits na gharama nyingine hata ya kubomoa alipewa.
Naomba kuulizia, mtu akijenga bila building permit serikali kisheria inaweza KUVUNJA NYUMBA yake?
 
Back
Top Bottom