Aliyetupa Macho asiweze kuona?

Hapa ndo chadema itakapojichanganga .Lowassa hawezi ubishi utawakost Lissu kwa sasa ndo habari ya mjini .uchaguzi wa TLS tu Ikulu watu hawalali unadhani akisimama urais itakuwaje? Lowassa abaki kwenye technical support
CHADEMA hata agombee malaika hawezi kushinda
 
Kutii mamalaka kwa mambo ya kijinga? Mungu hawezi kuwa karibu na viongozi wanaonyanyasa watu wake. Hii ni nchi siyo familia kama anataka aendeshe anavyotaka aende nyumbani kwake lakini siyo kwenye ofisi ya umma
Basi waendelee kutotii..watatii kwa shuruti..na hichi kibano kitaendelea hadi 2025..kama wataendelea kuwepo..
 
Elezea kidogo
 
Basi waendelee kutotii..watatii kwa shuruti..na hichi kibano kitaendelea hadi 2025..kama wataendelea kuwepo..
Hakuna kutii ujinga naona hata majaji wameona huu ni upuuzi hujasikia hao mliowatuma mahakamani dar na dodoma walivyojambishwa leo? Na bado
 
Enhee, umejileta meenyewe, kama askofu Jose vile, waumini,nipige nisipige? Anyway kwa vile mtu huru ni shemeji yetu wa maandazi road enzi nzile sitapiga Sana. Haya nijulishe jambo moja tu basi, hivi kidato cha nne alimaliza mwaka gani na shule gani? Kumbe kweli ihungo Jamaa, alizungusha, yaani ziro yaani, yaani hakuna kitu, yaani kakake bashite yaani. Mi nilifikiri ni majungu ya kisiasa
 
Wewe unasema tufanye kazi kuna mtu unamnunulia ugali hapa? Hivi watu wengine mkoje wewe ratiba za watu unazijua.? Mwambieni huyo jamaa yenu ndo afanye kazi ya kujenga viwanda na kutuletea maendeleo hatukumtuma kukimbizana na opposition sisi.
kwahiyo wewe kwa akili zako nusu kifuniko cha soda, unadhani mh anaposema anataka Tanzani ya viwanda , unafikili yeye ataamka ofisini nakwenda kujenga viwanda...?? viwanda vinajengwa na nyumbu kama wewe , sema unategea sana kazi za kujenga Taifa kwani muda mwingi uko kwa nyumbu wenzio wa ufipa badala ya kwenda kujenga Tanzania ya viwanda.
 
Usiniachie Mimi, nafsi yako itakuelekeza, nafsi iko more honest than our brains
 
tatizo CHADEMA hamna dira wala uelekeo....haijulikani mnasimamia nini....mfano magufuli anasimamia uwajibikaji serikalini, rushwa, ufisadi.....nyie mnasimamia nini? chadema ya zitto na dr.slaa ndio ilikuwa na uelekeo hii chadema ya Lowasa ni hopeless kabisa.....mtu kama Lowasa yuko pale kama picha tu hakuna anachofanya wala kusimamia...Tundu Lisu pekee ndio mpinzani wa kweli.....Lema siwezi kumuhesabia kwa sababu hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumsikiliza....sijui hata anafanya siasa za namna gani......
 
Wamekufanya nini Kisongo wewe?
Heeeh!!
 
Hilo la wabunge kuwa wengi naanza kupata wasiwasi huenda ubabe ukawapunguza wabunge wa upinzani wakawa wachache.
 
Unafaa sana kwenye mijadala ya facebook, sio hapa!
 

Dira ya rais JPM ni Tanzania ya viwanda. Get the facts right...
 
Mikwara mbuzi tu mnamhusisha Mungu kwenye upuuzi wenu mkiwa majukwaani mnatukana wenzenu Mungu anapenda? Awamu hii ni jino kwa jino fanya upuuzi wenzio wafanye upumbavu
Awamu ya mfalme j*ha
 
Mimi sijataka tumjadili Lema au Magufuli, ningependa tujadili hoja, specifically hii iliyowasilishwa na Lema. Nafahamu tukianza kujadili watu licha ya kwamba tutakuwa tunajidhalilisha, lakini tunaweza kukwazana mbele ya safari. Uko tayari tujadili hoja badala ya watu?
 
Basi kama huyo Rais wako alikuwa anategemea wananchi ndio tutajenga viwanda atasubiri sana.na wewe endelea kusubiri sisi wananchi tujenge viwanda.kenge wewe huna akili hata moja
 
sasa hoja gani unayoizungumzia? kama ni suala la Tundu Lisu kukamatwa ni ujinga wake alipaswa leo awe mahakani kwenye kesi yake mkuu.....Tundu lisu anafanya makusudi ili kutafuta huruma ya wapiga kura kesho kutwa.....kesi yake iko dar anahangaika na kesi ya Dodoma ambayo wakina masha wapo na wanao uwezo wa kuishughulikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…