Huyu aliyetoroka karantini alikuwa mgonjwa wa ngapi?
Wengine tulielezwa walikotoka, mbona huyu hatukuelezwa kuwa ni mtanzania aliyetoka Norway?
Yaani baada ya kutoroka karantini ndo tunaambiwa.
Na baada ya Mmalawi kutoroka Tunduma akiwa karantini ndo tukajua.
Hao waliotoroka wameambukiza wangapi huko njiani?
Aisee Dunia kwisha habari yake.
"Kisha nikaona Theluthi tatu ya Dunia ikiangamia ".
UFUNUO WA YOHANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikononi mwake Mungu tuko salama! Do not be a prophet of doom!!Huyu aliyetoroka karantini alikuwa mgonjwa wa ngapi?
Wengine tulielezwa walikotoka, mbona huyu hatukuelezwa kuwa ni mtanzania aliyetoka Norway?
Yaani baada ya kutoroka karantini ndo tunaambiwa.
Na baada ya Mmalawi kutoroka Tunduma akiwa karantini ndo tukajua.
Hao waliotoroka wameambukiza wangapi huko njiani?
Aisee Dunia kwisha habari yake.
"Kisha nikaona Theluthi tatu ya Dunia ikiangamia ".
UFUNUO WA YOHANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufunuo wa Yohana niliandika mimi?Mikononi mwake Mungu tuko salama! Do not be a prophet of doom!!
Bangili tena? Weka Shaba mazishi saa kumiwatu kama hao ni kupiga bangiri na kusukuma ndani
Tegeta UNUNIO KUNA BODA ANATAFUTWA NA KUNA MTU MITAA YA UNUNIO NASIKIA YUKO KARANTINE MAMLAKA ZIFUATILIEMkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amesema alipigiwa simu na mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dniale Chongolo na akamjulisha kuhusu mtu aliyetoroka karantini
Mtu huyo baada ya kutoroka Dar alionekana yuko Iringa, uongozi wa wilaya walishirikiana na jeshi la polishi kujua anapokaa mtu huyo na wamempeleka kantini
Mtu huyo inasemekana alitoka Norway, na ana siku nne tangu aingie hapa Tanzania. Alikaa karantini siku tatu na kuamua kutoroka
Nyumba aliyokaa pia iko chini ya karantini na mganga mkuu wa wilaya atawapima wote wanaoishi katika nyumba hiyo
Kasesela amesema kuna mwingine wiki iliyopita alitoroka karantini ya Tunduma na hadi sasa hawajui yuko wapi, lakini mtu huyo alikuwa mmalawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ccm hawaoni aibu kuendelea kuruhusu ndege za kutoka Ulaya kutua hapa nchiniMkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amesema alipigiwa simu na mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dniale Chongolo na akamjulisha kuhusu mtu aliyetoroka karantini
Mtu huyo baada ya kutoroka Dar alionekana yuko Iringa, uongozi wa wilaya walishirikiana na jeshi la polishi kujua anapokaa mtu huyo na wamempeleka kantini
Mtu huyo inasemekana alitoka Norway, na ana siku nne tangu aingie hapa Tanzania. Alikaa karantini siku tatu na kuamua kutoroka
Nyumba aliyokaa pia iko chini ya karantini na mganga mkuu wa wilaya atawapima wote wanaoishi katika nyumba hiyo
Kasesela amesema kuna mwingine wiki iliyopita alitoroka karantini ya Tunduma na hadi sasa hawajui yuko wapi, lakini mtu huyo alikuwa mmalawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenawe usitoe mitazamo yako ukaifanya ndo sheria wakati ni issue za serious hizo... yaani tukuachie ukakae kwako utaweza kujidhibiti usikutane na watu ndani ya siku hizo zote!? Acha ushamba bwanaKarantini watu wanaweza kaa makwao pia sio lazima wafikie hotelini.
Kukaa katantini maana yake unatakiwa ujitenge kabisa kukutana na watu; sio kama ile ya wasafi mmoja angekuwa na maambukizi pale wote wangepata.Wenawe usitoe mitazamo yako ukaifanya ndo sheria wakati ni issue za serious hizo... yaani tukuachie ukakae kwako utaweza kujidhibiti usikutane na watu ndani ya siku hizo zote!? Acha ushamba bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahili Bora tuwataje tu majina, kumbe makonda alikuwa sahihi, mbowe asingetajwa angeendelea na maandamano yakeWangekuwa wanajulikana wala asingefika huko iringa angeishia Ubungo, si unaona tabia ya kuficha ficha, halafu watu wengine matahira kweli huko kwao alikoenda kama ni mgonjwa anataka kumaliza kizazi chake wangemtandika vibao vya haja ili akili ikae sawa ,atakuwa anamagendo yake Sasa anaona kama anachelewa pumbafu zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamtiti ulioko kwa mwigulu nchemba utamuweka quarantine kwake utamuweza?Kukaa katantini maana yake unatakiwa ujitenge kabisa kukutana na watu; sio kama ile ya wasafi mmoja angekuwa na maambukizi pale wote wangepata.
Unapokaa karantini nyumbani unaweza pewa chumba kama ni selfcontained ideal utoki humo vinginevyo kama kuna ulazima wa kutoka unakuwa na ratiba yako; lakini chakula na mahitaji mengine unaletewa nje ya mlango, ukimaliza sahani unaacha nje ya mlango.
Ni hivi kuna taratibu zake na video luluki zipo kutoka kwa nchi zilizoathirika jinsi ya kuishi na watu wanaotakiwa kukaa quarantine majumbani.
Muhimu ni muhisika kuzingatia usafi anapoenda chooni kama cha kushare, kuvaa mask na kusafisha sehemu anazogusa kwa sanitizer.
kwa sauti ya rais wa Philippines
Hivi niliwahi kujibishana na wewe?Akikaidi tena ni shaba tu