kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,333
- 6,453
Kama kuna mtub huko serikalini aliye pendekeza kuwepo project ya kuteka na kuua watanganyika ili kuzima ukosoaji mwambieni project ime fail. Maana sasa output zake sio poa kabisa.
1. Inchi imechafuka kimataifa,
2. Ukosoaji unaongezeka,
3.Serikali inachukiwa na kuwa isolated na wananchi
4. Taswira ni kwamba nchi ni mali ya kundi la wasiojulikana wanao amua nani awe hai nani afe. Je kuna faida. Hakuna