Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

Hili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma 3d plate no Ni uongo mwepesi Sana , Ina maana ndani ya kipindi chote ambapo 3d zimekuwepo , gari zenye 3d zimekuwa hazikamatwi na torch zao ? Binafsi nilishakamatwa na hizo camera nikiwa nadaiwa na gari ilikuwa na 3d
Hakuna 3D pale,yaani mavitu yanabadnikwa vichochoroni wewe unaita 3D?
 
Najua Police excuse yao kubwa ni namba hazisomwi na camera zao wanaotegesha zisome madeni etc.

Ila twende na technology, Police wanatakiwa wawe na magari ya patrol ambayo yapo equiped na ANPR cameras (Automatic Number Plate Recognition Cameras). Ambayo inafanya kazi kama zile camera zao wanazotegesha njiani zina detect magari yasio na bima, yenye madeni na yenye uharifu.
View attachment 2938807
Issue ya kuzingizia 3D numbers ñi kwasababu vifaa vyetu vipo outdated sana.

Baadhi ya Nchi zilioendelea wameweka 3D numbers kama premium option tu kwa magari, na wala haikatazwi.
View attachment 2938810
3D huwezi tofautisha O NA Q.. yani E na B ni kama moja tuu.
 
Hili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma 3d plate no Ni uongo mwepesi Sana , Ina maana ndani ya kipindi chote ambapo 3d zimekuwepo , gari zenye 3d zimekuwa hazikamatwi na torch zao ? Binafsi nilishakamatwa na hizo camera nikiwa nadaiwa na gari ilikuwa na 3d
Kiukweli zile nambaaa hazifaiii hasa when comes to technlogy yani Plate namba ukiwa karibu tu inachanganya sasa Camera za mbali zitaonaa kitu kwelii...!! Hatari tupuu
 
juzi kuna dogo kagongwa maeneo ya mikadi nilikua umbali kama wa mita 200 kwamba nipo geti la rongoni ajali inatokea mikadi kwa mbele kidogo basi nikaongeza speed nikasaidie mpka nafika pale jamaa ashachomoa gari anasepa sikuweza kusoma namba zake zilizo kwenye mfumo wa 3D kwa umbali wa mita kama 50 tu maana anaanza kuondoka namuona kila nikisogea nisome namba sikuweza hata kuisoma na sina ubovu wa macho kwahiyo bora tusimamie pale pale kwenye 2D zinaonekana na ziko smart tu hata mtu akiwa mbali bado unaweza kuona usajili.

hizi 3D ni nene kuna engo huoni... ila kuna umbali huoni pia kama wataleta zenye viwango na ubora zionekane vizuri hata ukiwa umbali fulani
 
Ila bongo asee mara 3d plate number mara tinted vioo vya mbele mradi tafrani....
Plate # zetu za zamani wala hatukuwa na mbwembwe...
Hii ndy ilikuwa gari langu la kwanza kumiliki
Toyota corolla DX
wakati huo traffic mkuda mjini anasumbua alikuwa anaitwa kimti

Ova
 
Attachments

  • 20240319_164242.jpg
    20240319_164242.jpg
    1 MB · Views: 1
Kwanza kabisa, zinaitwa Number plates, japo tumezoea kuziita ''plate number''

Usajili wa gari ikihusisha kadi na number plate ni suala la kisheria sio maamuzi binafsi.

Sheria ina kanuni zake, ndio maana sheria inatambua

1. rangi ya number plate
2. ukubwa wa maandishi
3.'' Font type '' - aina ya mwandiko
4. material ya ile plate yenyewe
5. ukubwa wa hiyo plate
6. uwepo wa bendera ya nchi
7. uwepo wa mtengenezaji aliyeidhinishwa na TRA

Ukiweka 3-D hizi unaondoa sifa moja au zaidi za Number Plate.
 
Nyie ndo hamna akili, ukishabandua hizo namba hazisomeki pia, maana yake uende kwa kampuni za signage na card yako, ulipie wakupe plate number mpya.
 
Whether zinasoma au hazisomi, nipe sababu ya kitaalamu ya kuzibandika hayo ma plastic

Halafu uliwahi kufanya tafiti kati ya hizo namba zililochakachuliwa kwe kubandikwa hayo ma plastic na zile zilizoithinisha kwa kuzisoma ukiwa pembeni?
Shida kubwa hapa ni ulaji wa watu umeingiliwa. Hayo maneno kuwa hazisomwi kwenye kamera za fine barabaran ni uongo. Nipekamatiwa gari Kwa kosa la kuchelewa kulipa fine. Kwa kamera za barabaran.

Issue ya kosomeka vizur zinasomeka hata ukiwa pembeni. Mita 100 bado zinasomeka vizur tu.

Issue ya TBS ndo uongo mtupu kuwa hazina viwango. Hazina ukweli wowote ule. Ukiona mtu anatetea humu jua ni mnufaika wa 2D au ni trafiki kuhalalisha fine
 
Ulaji wa watu gani,? Mbona Watanzania vichwa panzi namna hii?Kumbuka hakuna mtu anazalisha hayo ma plastic mnayoyaita 3D from the scratch. Wanachukua hizo hizo namba za official dealer na kuziharibu kwa kuweka layer juu yake. Kumbuka wale supplier wa kutengeneza namba hawajalalamika kuwa wamepata mashindano Bali ni mamlaka zinalalamika vitu ambavyo vipo sokoni vimebadilishwa.Niambie ni nchi gani inafanys huo upuuzi? Umeanzishwa na mabishoo wachache Sasa wabongo kwa ulimbukeni wa kuiga makosa tunskimbilia vitu visivyo na masna
 
Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?View attachment 2938786

==========================
Inaweza kuwa labda kuna ugumu fulani (kwenye baadhi ya situation haziwezi kusoma). Kwangu mimi nadhani ni sahihi kwa sababu palte number za gari zinzatakiwa kuwa uniform kwa magari yote na standard iwe moja.
 
Sio rasmi na hazina viwango, nenda wanapozitengeneza, ni vishoka tu wanavibandika vichochoroni. Wako sahihi, havina ubora wa TBS
Acha ujinga, viwango vipo kwenye plates sio herufi hii nchi shida ni exposure. Vibao vina standard size na ung'aaji zinapomulikwa na mwanga, shida imekuja kwa wale waliopewa monopoly ya kuprint na kuuza hizo namba kuona hatari ya kupoteza biashara
 
Wewe maandazi kweli, unavikiri wansjiamdikia kienyeji.Plste pamoja na maandishi ni proces Moja yenye uboranunaozingatia viwango vya kimataifa. Sasa kuacha Kila mtu ajibadikie atakavyo itakuwa nchi Ina sheria kweli? Mwisho wa siku hefufi zitabafilishwa kwa au watahamia hatua ya pili ya kujiwekea ma font ya ajabu ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom