PostGE2025 Aliyetishia kukata watu vichwa kaishia wapi? Ameshtakiwa?

PostGE2025 Aliyetishia kukata watu vichwa kaishia wapi? Ameshtakiwa?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,995
Reaction score
13,513
Kichwa cha habari kiko wazi. Inakuwaje watu ambao hawakuchaguliwa, kuteuliwa, au kuwa sehemu ya serikali kikatiba wanatishia Watanzania? Wamelipwa, kujituma, au kutumwa?

Je, nani anawatuma na kwanini? Wanapata wapi uhalali wa kutoa vitisho ? Mbona hawakamatwi wala kukaripiwa?

Kwanini serikali imekaa kimya kuhusiana na uhuni huu? Je, huu nao si udini? Tufanye nini kuwatambua, kuwakaripia, na kuwaadhibu hawa wahuni wanaojifinya nyuma ya dini?

Kwanini sasa na si wakati mwingine? Kuna nini nyuma ya pazia.

Najiwazia kimya kimya tu

View: https://www.youtube.com/watch?v=ARJbpDohpdM
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=ARJbpDohpdM

Kichwa cha habari kiko wazi. Inakuwaje watu ambao hawakuchaguliwa, kuteuliwa, au kuwa sehemu ya serikali kikatiba wanatishia Watanzania?
Wamelipwa, kujituma, au kutumwa?
Je, nani anawatuma na kwanini?
Wanapata wapi uhalali wa kutoa vitisho vya kipumbavu?
Mbona hawakamatwi wala kukaripiwa?
Kwanini serikali imekaa kimya kuhusiana na uhuni huu?
Je, huu nao si udini?
Tufanye nini kuwatambua, kuwakaripia, na kuwaadhibu hawa wahuni wanaojifinya nyuma ya dini?
Kwanini sasa na si wakati mwingine?
Kuna nini nyuma ya pazia.
Najiwazia kimya kimya tu.

Kama uko upande wa Samia The Killer unaweza kusema au kufanya chochote as you please!
 
Kichwa cha habari kiko wazi. Inakuwaje watu ambao hawakuchaguliwa, kuteuliwa, au kuwa sehemu ya serikali kikatiba wanatishia Watanzania? Wamelipwa, kujituma, au kutumwa?

Je, nani anawatuma na kwanini? Wanapata wapi uhalali wa kutoa vitisho ? Mbona hawakamatwi wala kukaripiwa?

Kwanini serikali imekaa kimya kuhusiana na uhuni huu? Je, huu nao si udini? Tufanye nini kuwatambua, kuwakaripia, na kuwaadhibu hawa wahuni wanaojifinya nyuma ya dini?

Kwanini sasa na si wakati mwingine? Kuna nini nyuma ya pazia.

Najiwazia kimya kimya tu

View: https://www.youtube.com/watch?v=ARJbpDohpdM

Alieapa fr Kitima lazima ashughulikiwe mbona nae tupo nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom