Aliyetaka kumuua Ponda !

Aliyetaka kumuua Ponda !

Nme jarib kupitia japo kwa haraka baadhi ya maoni ya wana jukwa inanipa picha kwel kuna udini hapa nchini kwan watu wame kwenda stright na kusema kwamba ni haki shekh ponda kupigwa risasi sijui mmetumia katiba ya nchi gan ianayosema mytu akiwa mchochezi apigwe risas naomnba majib! na kusema kwamba tukio la kuawa kwa padri zanziber waislam wanahusika kitu ambacho c kwel kwam matukio kama hayo yametokea hata kwa mashehe yakiwemo kuimwagiwa tindikali.tatizo mnashindwa kuelewa kizuri sku zote kina pingwa ndo hjujawah kuskia vita zidi ya ukristo bali kumna vita juu ya uislam na kuitwa magaid ila cha kushangaza cjawah kiuskia gaid mkristo toka najua kusoma. kwa mfano mzuri kuwakumbusha kama waislam hawpendwi mnakumbuka issue ya NECTA na mtihani wa islamic knoledge walicho wafanyia waislam? au mnajifamnya kusahau? tatizo serikal haimpend shehe ponda kwan anasema ukwel na kuwaumbua na yupo tayar kufa kwa ajil ya uilam ni sawa na CCM wanavo ichukia CHADEMA.jaman c siri uislam haupendwi mfano mwingine uliomna lin sku kuu za kiislam ofice za serikali zika pambwa? hebu jiulize kuhusu krismas na mwakampya jimns fedha ya walala hoi inavotumika kwenye mapambo yasio na maana.jaman tusiwe wanafik tuwe wakwel kama CHADEMA na tusiwe kama CCM

we naye vp unalazimisha wawepo magaidi wakristo hata kama hawapo? Chunga ufia dini utawamalza nyie watz!!
 
We una chuki binafsi na huyo askari uliyemtaja,weka ushaidi jamvini sio unakuru
 
We una chuki binafsi na huyo askari uliyemtaja,weka ushaidi jamvini sio unakurupuka tu
 
Wana Jamvi,

Habari za jioni !

Tumemjua Askari Polisi aliyefyatua risasi kwa lengo la kumuua Sheikh Ponda anaitwa Inspector Benedict George, Mkurya wa kituo cha Morogoro mjini

Lengo la kumleta hapa jamvini ni nduguze kumsihi asijiingize kwenye matatizo ambayo hataweza kuyakabili

Ipo misitu mingi sana ambako Watanzania wanauwawa na Polisi hawaendi na wanabaki kukimbizana na CHADEMA na Waislamu hasa Masheikh huku mjini kutawafikisha kubayaa

He has been warned!

mbona huyo ni mtu mdogo sana , tunataka aliyetoa amri ya "wapigeni tena nasema wapigeni sana"
 
'habari yako mbona imekaa kiuwepesi wepesi hivi haina source haina hata picha basi ya huyo askari na ndugu zake pia hakuna ndugu...'

Inawezekna wanagombea kitu kingine, kaja kumwanika JF kwa kisingizio cha Ponda
 
Wana Jamvi,

Habari za jioni !

Tumemjua Askari Polisi aliyefyatua risasi kwa lengo la kumuua Sheikh Ponda anaitwa Inspector Benedict George, Mkurya wa kituo cha Morogoro mjini

Lengo la kumleta hapa jamvini ni nduguze kumsihi asijiingize kwenye matatizo ambayo hataweza kuyakabili

Ipo misitu mingi sana ambako Watanzania wanauwawa na Polisi hawaendi na wanabaki kukimbizana na CHADEMA na Waislamu hasa Masheikh huku mjini kutawafikisha kubayaa

He has been warned!

hili ni tatizo kwa bavicha wote kuweka siasa kwa kila kitu.
Umbea huuu sijui utawapeleka wapi.
 
huyo askari hakuwa feki? maana siku hizi ukimuona askari kwanza ujiulize ni halisi au feki?
 
Ponda kitu gani? Hata hana faida au umuhimu kwa taifa letu.gaid hayo ndiyo malpo yake bado arobain yake huyo mpuuz aliyejificha kwenye kivuli cha din ya haki kinadharia.islam means peace
 
WaTZ wanashangaza sana yani ikitokea issue za waislam baadhi tena wachache sana wakristu bila tafiti wanaona ni haki kabisaa Ponda kutendewa aliyotendewa! Lakini itakapo anza kwa wachungaji,mapadri kupigwa na polisi ndo mtaelewa Polisi walikosea sana! Na ikumbukwe hii nchi sio ya dini fulani na itakapo fikia watu kuchoka ndo mtaelewa nini maana ya vita ya udini! Lazima tuungane kwa Pamoja na kuona Polis walikosea sana na ndo maana ata aliefanya hivyo kwa sasa ANAJUTA..UGUA POLE MWANAHARAKATI
 
Wana Jamvi,

Habari za jioni !

Tumemjua Askari Polisi aliyefyatua risasi kwa lengo la kumuua Sheikh Ponda anaitwa Inspector Benedict George, Mkurya wa kituo cha Morogoro mjini

Lengo la kumleta hapa jamvini ni nduguze kumsihi asijiingize kwenye matatizo ambayo hataweza kuyakabili

Ipo misitu mingi sana ambako Watanzania wanauwawa na Polisi hawaendi na wanabaki kukimbizana na CHADEMA na Waislamu hasa Masheikh huku mjini kutawafikisha kubayaa

He has been warned!
. una uhakika gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom