Aliyesoma tamko feki la Mahakama angekuwa mpinzani leo hii angekuwa wapi?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,068
151,315
Leo hii hakuna anaendelea kuhoji bali tunasubiri mengine.Hata waandishi nao kimya!!

Nchii hii ukiwa na kipaji cha kuzitumia effectively "the five sense organs," basi unatosha kabisa kukubalika miongoni mwa wananchi na wakakushangilia kwa kila jambo huku vyombo vya habari navyo ukivisetia agenda uzitakazo.

Katika awamu hii,waandishi mkijikita zaidi katika "informative journalisim tu"hakika ,mtaua hili taifa kabisa.
 
Ishiiiii... Unauliza ndevu kwa Osama? Angekuwa jela
Tungekuwa na waandishi makini wangekuja na headlines za mfululizo juu ya jambo hili kwenye front pages zao mpaka serikali ingeona aibu na pengine kuchukua hatua ila waandishi wetu wanachojua zaidi ni kuripoti tu raisi au waziri fulani kamsimamisha kazi fulani.Yaani Journalisim ya Bongo ni substandard kwakweli.
 
nani wa kulipia hiyo agenda?? akipatikana basi magazeti yataandika kwa maandishi makubwa
 
Back
Top Bottom