Chacha90
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 433
- 728
Hizi bongo za hovyo kabisa. Yaani umeshindwa kupata ufafanuzi kwenye tcu guidebook then unakuja kurukaruka kwa watu?Nimepitia mkuu ila naona wanabase kwenye physics na hesabu
Bure kabisa
Hizi bongo za hovyo kabisa. Yaani umeshindwa kupata ufafanuzi kwenye tcu guidebook then unakuja kurukaruka kwa watu?Nimepitia mkuu ila naona wanabase kwenye physics na hesabu
COMPUTER SCIENCE KWA UDSM NA UDOM LAZIMA UWE UMESOMA HESABU ADVANCE ,ILA KWA VYUO VINGNE WENYEWE HAWAHITAJI HIVYO VITUKuna kijana wetu alisoma PCB na wakati ule wa CAS ya TCU alijikuta kapangiwa ICT IFM. Nimecheck IFM wanasema mahitaji yao ni:
Degree: Bachelor of Science in Information Technology Course code: IF003 Kigezo: Any two principal passes in science subjects. Those without a principal pass or subsidiary pass in Mathematics must have a credit at O level. Unatakiwa uwe na point 4 kutoka masomo mawili. Computer science wanahitaji "Two principal passes in Physics and Mathematics."
Nenda ict y mzumbe au rucuNimepitia mkuu ila naona wanabase kwenye physics na hesabu
Engineering? Hasa mechanical, civil n.kPcb anasoma koz zote za duniani