Aliyesoma pcb anaweza soma computer science

Ndio inawezekana, mimi nilisoma PCB nimemaliza bachelor of computer science last year

Msaada ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nimecheck Institute of Accountancy Arusha (IAA) kwenye TCU admission guide 2018/19: Mambo yamebadilika mkuu principal maths inatakiwa.
Bachelor of Computer Science (BCS) IA003 na Bachelor of Information Technology (BIT) IA004. Vigezo kwa zote mbili:Two principal passes in Science subjects, one of which must be in Mathematics
 
Naweza pata kwa vyuo kama udom udsm na mzumbe?

Tatizo kubwa la hivi vyuo vya serikali hasa UDSM, ni ushindani kuliko vigezo. Kwa mfano mwaka jana, UDSM walipokea maombi takribani elfu arobaini kati ya waombaji wote takribani elfu sitini. Na kati ya hao walikuwa wanataka watu karibu elfu kumi na moja hivi, kwa hiyo ukiangalia hapo kwa wastani nafasi moja inagombewa na watu wanne na pengine wote wana vigezo, kwa hiyo vita ni kali sana.

Cha kufanya omba vyote ili kuongeza nafasi yako. Kila la heri
 
Asante mkuu
 
Nimecheck Institute of Accountancy Arusha (IAA) kwenye TCU admission guide 2018/19: Mambo yamebadilika mkuu principal maths inatakiwa.
Bachelor of Computer Science (BCS) IA003 na Bachelor of Information Technology (BIT) IA004. Vigezo kwa zote mbili:Two principal passes in Science subjects, one of which must be in Mathematics
Daaah kwhyo wanaosoma hyo kozi ni pcm tyu
 
Tatizo kubwa la hivi vyuo vya serikali hasa UDSM, ni ushindani kuliko vigezo. Kwa mfano mwaka jana, UDSM walipokea maombi takribani elfu arobaini kati ya waombaji wote takribani elfu sitini. Na kati ya hao walikuwa wanataka watu karibu elfu kumi na moja hivi, kwa hiyo ukiangalia hapo kwa wastani nafasi moja inagombewa na watu wanne na pengine wote wana vigezo, kwa hiyo vita ni kali sana.

Cha kufanya omba vyote ili kuongeza nafasi yako. Kila la heri
Nimeangalia TCU wanahitaji principal pass in math and phy
 
Udsm sina hakika ila udom na mzumbe unaeza pata, angalia tcu guide book kwa maelezo zaidi
Mkuu nimeona mzumbe kuna IT na nina vigezo lakini kwa upande wa computer science naona wamebana wanahitaji principal pass in math and phy
 
Mzumbe hawana computer science (labda kama imeanzishwa miaka ya karibun)!! Infact wanachosoma watu wa comp science na watu wa IT ni sawa... Havina tofauti...wote wanasoma computer programming,web development, network na database!! Angalia na udom i think wqna comp science, IT na IT with computer security ...

Angalia na IFM pia...
 
Kweli kabisa udom computer science ipo ila wanahitaji principal pass in math and phy sa ndo hapo naona watazingua nkituma maombi
 
Kwa unafuu wa ada na hostel nadhan udom is the best pia wako vizuri kwenye maswala ya computer na IT kwa ujumla, ikifwatiwa na mzumbe (japo nao kwenye hostel utasumbuka ukiingia mwaka wa pili)...

Jaribu kuomba usikate tamaa... Apart from IFM, SUA nao wana IT nenda kacheki... All in all, haijalishi utasome kozi ipi kinacho matter ni ku deliver, uwe vizuri kwenye programming thats all...

Na uwe mtu mtundu na unayependa kujifunza na sio ungoje handout za mwl maana technology inachange every day... Ukiwa domant hutak kujifunza utapitwa na wakati...

Kila la heri..
 
Bongo admission zake ndiyo hazieleweki. Computer Science inabeba vitu vingi. Kuweka Advanced Mathematics na Physics kama kigezo kujiunga baadhi ya vyuo naona wapo nje ya wakati.
Ila kwenye kigezo cha Mathematics kufaulu hata wangeangalia BAM na O' level inaleta logic. Ila Physics inachukua nafasi ndogo sana.
 
Yani bongo shida kweli
 
Kuna kijana wetu alisoma PCB na wakati ule wa CAS ya TCU alijikuta kapangiwa ICT IFM. Nimecheck IFM wanasema mahitaji yao ni:
Degree: Bachelor of Science in Information Technology Course code: IF003 Kigezo: Any two principal passes in science subjects. Those without a principal pass or subsidiary pass in Mathematics must have a credit at O level. Unatakiwa uwe na point 4 kutoka masomo mawili. Computer science wanahitaji
"Two principal passes in Physics and Mathematics."

Hata mdogo wangu anasoma hiyo kozi, na kasoma pcb
 
Mzumbe hawana computer science (labda kama imeanzishwa miaka ya karibun)!! Infact wanachosoma watu wa comp science na watu wa IT ni sawa... Havina tofauti...wote wanasoma computer programming,web development, network na database!! Angalia na udom i think wqna comp science, IT na IT with computer security ...

Angalia na IFM pia...
Sio kweli Computer science ni tofauti na IT
 
Kuna uwezekano wa kusoma computer science kama umesoma PCB, mimi nimemaliza IAA mwaka jana na nilisoma PCB.... minimum requirements ni "Form VI (Six) with at least two principal passes in Physics,
Mathematics, Geography, Biology" na hazijabadilika
 
Back
Top Bottom