Hakika mkuuMkuu wewe ukianza kutafuta aliyesema ni nani itasaidia nini?
Wewe anza kuwa muaminifu. Mjenge mke wako akuamini.
Akikuamini yeye inatosha hata kama hawa wengine walio baki wakisema wanaume sio waaminifu...
yeahIli hali yupo kwako na unamjali kwa kila kitu.
Kauli yako haiaminiki[emoji28] [emoji28] [emoji28] just keep the thought to yourself[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi ni caring and loving
Sio wewe kweli?Nmewahi nafasi
Sio mimiSio wewe kweli?
Yaonyesha weye kabisa....Sio mimi
Kweli kabisa mkuuKauli yako haiaminiki[emoji28] [emoji28] [emoji28] just keep the thought to yourself[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja nimuulize alienambia niandike ilo jibuBasi njoo utengue kauli, kwani imeleta impact kubwa sana kwa wanawake wa kisasa .
mkuu mimi najijua ni mwanaume mwaminifu ila ts not my job to prove to anyone that i am[emoji28] [emoji28] i always let them figure that out by themselves, kama hatoliona ilo basi she is not worthy living with[emoji19]Kweli kabisa mkuu