Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,670
- 12,046
Mkuu ni li habari la mwaka jana hili siyo la mwaka huu! Angalia post ya kwanza kabisa ya huyu mleta mada ni matokeo ya 2016! Hata mimi nilikuwa nimeuvaa mkenge nikakimbia kwenda kufuta fasta!!Hizo habari mbona hazina ukweli? Tabora boys amna ufaulu wa Division one ya point 3; Bali ni division one ya point 4 ndo zimeanza; Shule imekua nafasi ya 8 ki taifa. Unless NECTA wameficha data zingine au mpekuzi amepata wrong source.
Nakubali kusahiishwa