KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,584
- 8,610
Mimi hapa sielewi yani waziri mzima alikuwa anaanzisha kundi lake la uhaini kaamua kwenda mstuni??mbona alikuwa na asset nyingi sana kwa morogoro ina maana Bungeni uhamisha nyumba yake dodoma!!Kuna zaidi ya swali hapa!'kuwa mtu asiyejulikana alivunja dirisha la chumba namba 125 alichopanga Naibu Waziri huyo kisha kuingia ndani na kuiba vitu hivyo vyenye thamani ya zaidi ya Sh23.25 milioni.
"Vitu alivyoibiwa ni pamoja na laptop tatu, aina ya Dell zenye thamani ya Sh5.6 milioni.
Vinasa sauti viwili vya digitali na headphone zake zote ambavyo thamani yake ni Sh 1 milioni na simu tatu aina ya Nokia C6 ya Sh500,000, Nokia E200 ya Sh250,000 na Blackberry zenye thamani ya Sh5.5 milioni," alisema kamanda huyo na kuongeza:
"Vitu vingine ni pete mbili za almasi zenye thamani ya Sh2.5 milioni, Dola 4,000 za Marekani ambazo ni sawa na Sh6.5milioni, Sh1.5 milioni, kadi mbili za benki, mabegi matatu ya nguo, baraghashia mbili zenye thamani ya Sh50,000 na nyaraka mbalimbali za Serikali'.
hata malima ni mwizi tu kwanini mali zote hizo.