Aliyemtisha Lukuvi huyu hapa!!

Aliyemtisha Lukuvi huyu hapa!!

Joined
Feb 9, 2012
Posts
65
Reaction score
15
Ni mwanafunzi wa Masters ya Public Administration UDOM na sasa hivi yuko Str tv kipindi cha Tuongee asubuhi.Sasa sijui hii style ya kukurupuka na kumsingizia Lema inakuja vipi kama siyo kutishia uhuru wa watanzania kutoa maoni??Nadhani anatakiwa kuomba radhi kwa kukurupuka kwani kiongozi makini haendeshwi na hisia
 
Mimi siku hiyo lukuvi alipokua kwenye kipindi cha tuongee nilishangaa mno kumwona akikomalia eti yule alopiga simu lazima alikua Lema.
Sawa tuchukulie angekua ni Lema kweli, je, Lema haruhusiwi kuchangia hoja?
Najiuliza maswali mengi sana kuhusu lukuvi nakosa jibu.
 
Ulitegemea nini toka kwa mtu kihiyo kama Lukuvi aliyeghushi hivyo vyeti vyake? Akichanganya na hasira zitokanazo na kula mbwa unategemea nini? Wahehe samahanini nyinyi ni watani wangu hivyo hamna haja ya kujinyonga alright?
 
Lukuvi hajawahi kupata degree hata moja ni darasa la saba. Juzi juzi tu aliposikia Kikwete anataka kumtema baada ya kuingia kipindi cha pili cha urais jamaa alienda Open Univ akaonga walimu na kila jioni alikuwa akionekana na pale kama mwanafunzi kumbe watu wanamfanyia mambo. Siku moja baada jamaa yake kuacha kazi akapewa mwl mwingine lakini yule mwl akamwambia mbona file lako ni tupu sioni kazi yeyote Lukuvi akaja juu na kumwomba na kumkatia kitita. Lukuvi hawezi kuandika hata sentinsi moja ya kiingereza. Kama anabisha ajitokeze nitoe zaidi.
 
Halafu eti ni among best ministers wa JK. Eti yeye na Wassira ndio wanapendwa sana kwa sababu ya uwezo wao mkubwa wa kudhibiti wapinzani.. Shame on them!
 
Ni mwanafunzi wa Masters ya Public Administration UDOM na sasa hivi yuko Str tv kipindi cha Tuongee asubuhi.Sasa sijui hii style ya kukurupuka na kumsingizia Lema inakuja vipi kama siyo kutishia uhuru wa watanzania kutoa maoni??Nadhani anatakiwa kuomba radhi kwa kukurupuka kwani kiongozi makini haendeshwi na hisia

Mwandishi rekebisha kichwa chako kwani kwa jinsi kilivyo sasa inakuwa kama mtu aliyemtisha Lukuvi ndo unamuongelea, ni bora iwe ALIYETISHWA NA LUKUVI HUYU HAPA!
 
Huyo jamaa ni mashine,ana aleji na sana na serikali ya ccm aiseee!!!!,halafu nilijaribu kumfuatilia kwa umakini mkubwa ana simu halafu zote zina picha ya Bendera ya CDM!,chadema ina vichwa kwelikweli halafu ni kijana mdogo lakini FULL MICONFIDANCE!!! SAFI SANA KIJANA UNASTAHILI.
 
kila mtu na mapungufu yake, uongozi haupimwi kwa degree mtu alizonazo kwani wapo wasomi lakini uongozi sifuli wamekalia kukariri na mwishoni wanaishia kwenye ufisadi. Lukuvi ni kiongozi anayejali watu wake, jimbo lake barabara nzuri, na sasa anashughulikia maji katika vijiji vya jimbo lake. je mnahitaji kiongozi wa degree ambaye hata akiulizwa amefanya nini hawezi kuonyesha. mwancheni Lukuvi.
 
Lukuv kama angekua mkweli na muungwana angetamka wazi kua siku ile kiukweli alishindwa kwa hoja na yy akua na kunena pale na kujikuta anamtaja lema kwan yawezekana atakua na kisilani na huyu mtu aitwae lema nakueshimu sana kutokana na wadhifa wako ukiwa kama mbunge wangu lakini nasubutu kusema siku ile ulipotoka!!!!!
 
Querauk , huna adabu na unawakosea sana watu wa isimani. Jimbo lina njaa, watu wanazidi kuwa masikini, hali ya uchumi isimani bora miaka ya 80: kama umetumwa na lukuvi mwambie wanishtukia. Kama umeshapewa chako kula acha kudanganya umma. Kiukweli ndg zangu wa jamii. Jimbo hili chini ya lukuvi limechoka, watu wamechoka na hali ni mbaya sana kama kuna mtu mwenye uchungu na raia wale aende kuwaokoa mwaka 2015:
 
Tukiwa na watu kumi wanafiki kama querauk ni janga la kitaifa anaamua kutetea uchafu ili mradi tumbo lishibe! Shame on you.
 
Tatizo la lukuvi ni uwezo mdogo wa kielimu! Yeye hupenda kujibu hoja za vihiyo wenzake!
 
Nakumbuka bunge la mwezi wa 6/7 Lukuvi aliongea wazi bungeni akimsifia mkuu fulani wa huko kwake kwa kuwakataza cdm kufanya mikutano na aliapa hawatapata nafasi na wakithubutu wategemee mapigo, je hayo hayawezi kuunganishwa na kifo cha Mwangosi?
 
Ni yule aliyesema " Namuuliza mh. Lukuvi a.k.a mzee wa KANUNI YA 64" ni huyo nn
Na hiyo kanuni inahusu nn maana lukuvi alikuja juu mbaya.
 
shame on you too mr juu kwa juu. mie sio mnafiki kama unavyofikiria kwa ubongo wako uliooza, huoni barabara za mkungugu chamdindi, ikengeza mwawidi hadi pawaga. unataka lukuvi aje akulimie shamba ndo useme anafaa. serikali inashughulika na miundo mbinu ya kuwasaidia watu wake kujikwamua kiuchumi. asubuhi mnaamkia ugimbi shambani hamendi na njaa inawapata unataka mbunge akupe chakula. Kama kweli wewe umesoma basi umehudhulia shule tu na kujua kaandika juu kwa juu bila kufukiri kama jina lako lilivyo.
Hakuna mtu wa kuhonga ili kupindisha ukweli wewe ndo umechukua chako mapema na ulaaniwe kabisa kwani hufai kabisa.
Mungu akubariki na akuongezee busara na upendo kwa watanzania wenzio
 
Ulitegemea nini toka kwa mtu kihiyo kama Lukuvi aliyeghushi hivyo vyeti vyake? Akichanganya na hasira zitokanazo na kula mbwa unategemea nini? Wahehe samahanini nyinyi ni watani wangu hivyo hamna haja ya kujinyonga alright?
Sisi huwa Hatuna utani na walevi
 
Ni mwanafunzi wa Masters ya Public Administration UDOM na sasa hivi yuko Str tv kipindi cha Tuongee asubuhi.Sasa sijui hii style ya kukurupuka na kumsingizia Lema inakuja vipi kama siyo kutishia uhuru wa watanzania kutoa maoni??Nadhani anatakiwa kuomba radhi kwa kukurupuka kwani kiongozi makini haendeshwi na hisia

Ni kweli yule jamaa nimemuona leo start tv anazungumza na ndiye aliyepiga simu majuzi akamchana wasira alikuwa na lipumba jamaa anaongea kama lema hana tofauti hata kidogo na jamaa anajiamini na anasimamia anacho kifahamu
 
Sauti anafanana sana na Lema lakini nimefurahi kumuona anauthubutu na kujiamini sana wakati anamaliza mjadala alizungumzia kwamba Mwigulu Nchemba ndio muuaji kwa sababu hajaonyesha video za mpango wa mauaji wa chadema Dotto akamwambia chadema hajakanusha akasema yeye azipeleke polisi au polisi wazifuate kwake au azipeleke mahakamani duh jamaa kifaa kweli kweli
 
Ajiandae tumpe ubunge kwani tunahitaji majasili kama yeye.hii nch inahitaji kukombolewa mapema kabla ya 2015
 
kila mtu na mapungufu yake, uongozi haupimwi kwa degree mtu alizonazo kwani wapo wasomi lakini uongozi sifuli wamekalia kukariri na mwishoni wanaishia kwenye ufisadi. Lukuvi ni kiongozi anayejali watu wake, jimbo lake barabara nzuri, na sasa anashughulikia maji katika vijiji vya jimbo lake. je mnahitaji kiongozi wa degree ambaye hata akiulizwa amefanya nini hawezi kuonyesha. mwancheni Lukuvi.
Ulikuwa hujui hizo ni offer za mawaziri majimboni Mwao? Si anatumia kodi zetu? au za mshahara wake? "UNEQUAL AND UNFAIR DISTRIBUTION OF OUR CAKE"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom