Aliyemshitaki Padri Kitima kwenye ubalozi wa Vaticani anasaligi Parokia gani?

Aliyemshitaki Padri Kitima kwenye ubalozi wa Vaticani anasaligi Parokia gani?

Ni mkatoliki konki lakini hahitaji kujiunga na viparokia vyenu vya michango kila kukicha.
Je akifariki mtamzika, au mtaisusa maiti?
Sisi waislamu tutamzkika kama tunavyozika wakatoliki wengi wanaosuswa
 
Yule lofa hata umtafute kwenye vigango vya katoliki ulimwenguni hutampata,yule ni lofa kutoka kwenye korido la Lumumba
 
Kwani nawe ni 'Nguruwe' wa Samia; mbona unahangaika na "nyumbu"?
Umepewa hii kazi kumtetea mtu mwovu kabisa aliyewahi kuwepo Tanzania, utaiweza kweli?

Watangulizi wako hapa JF wengi wameshindwa. Huwezi kutetea uovu ukitegemea kufanikiwa.
We andaa sadaka mengne hayakuhusu
 
Back
Top Bottom