akili yako ni sawa na huyo mkurugenzi...kwa hyo mwl huyo ndio mwenye makosa walimu wengine walikuwa sahihi...kama shule ni chafu ilitakiwa awaite walimu wote na kutoa onyo kali wakiwa ofisini hususani kwa mkuu wa shule....sasa hao watoto wanaougua coz of poor hygiene si wangekuwa wanasafisha
nikweli broo, anatakiwa kutumbuliwa huyuKishaona dalili ya kutumbuliwa huyoooo,anajifanya naye mungu mtu.Daaaahhh hua naskiaga vibaya mno kuona mwalimu akionewa au kudhalilishwa,tunajisahau sana wakati hao ndo walez na wasimamiz wa taaluma zetu
NonsenseMbona kawaida sana, angewekwa lokapu sibora kudeki kuliko kulala ndani?, watanzania bana mambo mengine tunayakuza kweli, ni adhabu kama adhabu zingine jamani.
Tunaweza kuwa na free sinkersNa mwalimu nae jamani, mbona anakuwa muoga hivyo? Au ana vyeti feki? Kwani angekataa? Maana najua hata wangetunishiana misuri, mbele ya mahakama haki ingetendeka tu. Halafu bado tunawaza kuja kuwa na kizazi cha free thinkers? Kwa aina hii ya uoga wa walimu? Mungu aiingilie kati.
Mfyiiiiuuuu! We jirani yako au mwenyekiti wako wa mtaa akija kukuchapa fimbo za matako mbele ya watoto wako vipi? Huu ni udharirishaji kama udharirishaji mwingine. Tuache kutetea kwa masrahi binafsi. What goes on comes around!Mbona kawaida sana, angewekwa lokapu sibora kudeki kuliko kulala ndani?, watanzania bana mambo mengine tunayakuza kweli, ni adhabu kama adhabu zingine jamani.
Na mwalimu nae jamani, mbona anakuwa muoga hivyo? Au ana vyeti feki? Kwani angekataa? Maana najua hata wangetunishiana misuri, mbele ya mahakama haki ingetendeka tu. Halafu bado tunawaza kuja kuwa na kizazi cha free thinkers? Kwa aina hii ya uoga wa walimu? Mungu aiingilie kati.
CWT acheni ubabaishaji na kutuhadaa..
Mkurugenzi amefanya kazi yake kwa nia njema ya kuwarekebisha walimu ******..
Hamtamuweza Mkurugenzi... Ni boss wenu
Hivi kama angegoma ingekuwajeDuuh! Kweli binadamu tumetofautiana, hii issue ingenikuta mimi nahisi sahivi mngekuwa mnaongea mengine![]()
potelea mbali
![]()
![]()
Angefukuzwa kazi na kurudi kijijin kwao kulima!Hivi kama angegoma ingekuwaje

Hivyo tu mbona kuna watu wana makosa makubwa kuliko hili lakin hawafukuzwi na kudek dalasa ni jukum la nanAngefukuzwa kazi na kurudi kijijin kwao kulima!![]()
![]()
![]()
IPO KWENYE PROFESSION CODE OF CONTRACT YA UALIMU?Mbona kawaida sana, angewekwa lokapu sibora kudeki kuliko kulala ndani?, watanzania bana mambo mengine tunayakuza kweli, ni adhabu kama adhabu zingine jamani.